Tanzanialeaks apuuzwe, Hazina haijafilisika

Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.

Amani itawale Tanzania
 
Afadhali umekuja kulisemea hili muheshimiwa, maana watu wasio itakia nchiyetu.

Mkuu unafanya kazi nzuri sana tena huku mtaani tunakufurahia kwa utendaji wako ulio tukuka mh waziri.

Sasa mkuu naomba unisaidie jambo moja ambalo ni lamuhimu sana, yaani sipo vizuri kabisa naomba uniwezeshe kiasi walau nipate kununua mlo wa siku tatu.

Wewe ndio tegemeo la nchi yetu kwasasa mh waziri, na tunajivunia sana uwepi wako hapa nchini na ndio sababu tunapata maendeleo kwa kazi ya 5G.

USINISAHAU OMBI LANGU MH...
 
Hebu acha kutudanganya na wewe.

Hatuwezi kuwaamini watu wanaoongea vitu halafu baadae wanasema ulikuwa utani.

Uongo hujibiwa na ukweli, hebu weka hapa evidence kuonyesha hamdaiwi.

Ila ukisema apuuzwe na hujaleta ushahidi wote mtakuwa wazushi tu.

Wewe ndio kipindi kile Maria Sarungi anasema Magufuli kalazwa ukapiga limkasi kwenye post yake halafu baadae ukasema "we cannot negotiate with a devil"

Majaliwa akatuambia yupo fit anachapa kazi .

Kuja kuambiwa kumbe mtu kalazwa wiki 2 nyuma.

Hamuaminiki nyote .
 
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.

Vyema sana mh. Evidence zi attach kuepusha maswali yasiyo ya lazima.
 
Afadhali umekuja kulisemea hili muheshimiwa, maana watu wasio itakia nchiyetu.
Mkuu unafanya kazi nzuri sana tena huku mtaani tunakufurahia kwa utendaji wako ulio tukuka mh waziri.
Sasa mkuu naomba unisaidie jambo moja ambalo ni lamuhimu sana, yaani sipo vizuri kabisa naomba uniwezeshe kiasi walau nipate kununua mlo wa siku tatu.
Wewe ndio tegemeo la nchi yetu kwasasa mh waziri, na tunajivunia sana uwepi wako hapa nchini na ndio sababu tunapata maendeleo kwa kazi ya 5G.
USINISAHAU OMBI LANGU MH...
Mwanaume pambana kutafuta ugali na kula yako, usitegemee uchawa au mwanasiasa.

wenzako wanaishi kwa kuokota chupa za maji poa, kukusanya vyuma chakavu na kuponda kokoto ila hawalambi miguu au viatu vya wanasiasa.

Samahani lakini mkuu, ila pambana usijilegeze legeze utajikuta unaliwa na mafisi kwa tabia za kujibebisha na uchawa.
 
mheshimiwa kwani mkoa wa Mara ni kisiwa au?? na sisi tunahitaji SGR pia,sisi pua tunaomba tuwekwe kwenye mpango
 
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.

Ni kweli nami naipuza tena sana. Tunafisika vipi wakati tunaweza kulipia gharama ya mafuta mashangingi kutembea nchi nzima zaidi ya 150?
Aliyefilisika hana uwezo huo hata kama amefuta bima za afya za watoto.
 
Back
Top Bottom