Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Huku kwetu mabomba ya maji yanatoa maziwa kila siku asubuhi mkuu...🤣Maji mmeishapata?
Tunampongeza sana mh waziri...😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu mabomba ya maji yanatoa maziwa kila siku asubuhi mkuu...🤣Maji mmeishapata?
Nadhani hata hati ya kusafiria huna achilia mbali ulaya unayoisikia kwenye redio kijijini kwenu.Tozo na kodi ndio vinaendesha nchi.hata Ulaya wanalipa sana kodi na tozo kwa maendeleo yao.
Tuanze na USD, nini kunaendelea.Mheshimiwa, kumbe huwa ina pain eeh ?
May be was not as such much, ila lisemwalo lipo au linakuja.
Tafadhali tulindie amana yetu.
Nimekua chawa mwaka wa kumi huu mkuu....Mwanaume pambana kutafuta ugali na kula yako, usitegemee uchawa au mwanasiasa.
wenzako wanaishi kwa kuokota chupa za maji poa, kukusanya vyuma chakavu na kuponda kokoto ila hawalambi miguu au viatu vya wanasiasa.
Samahani lakini mkuu, ila pambana usijilegeze legeze utajikuta unaliwa na mafisi kwa tabia za kujibebisha na uchawa.
Ameleta maendeleo na unafuu wa kodi lukuki....Ha ha ha ha!! Safi sana kijana! Mitano 🖐️ mingine kwa Dr. Mwigulu Nchemba, kipenzi cha wana Iramba, na Watanzania wote wanyonge!!
Inawezekana nchi haijafilisika kwa sababu ya kukopa ovyo. Jiulize wakati Magufuli anaondoka madarakani deni la taifa lilikuwa shilingi ngapi na wakati anaingia Samia chini ya uwaziri wa Mwigulu nchi imeishakopa kiasi gani.Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.
Tatizo huwa hauaminiki wewe, wiki si nyingi zijazo tutamsikia rais akiongea kitu tofauti kabisa na hiki ulichoandika hapa.Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.
Jibu hoja zote umejibu mbili tu na hiyo ya pili umeficha, kama Kampuni YAPI walikuwa na changamoto gani hizo ? Kwanini serikali ikubali kurudishwa nyuma na changamoto za ndani ya kampuni si muwafukuze kama hawalipi wafanyakazi wao maana inakwamisha shughuliPuuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.
Hakuna nchi yenye watawala wa ovyo hapa Ulimwenguni kama Tanzania. Hii nchi bora tu mkoloni arudi kuitawala.Bajeti wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum inazidiwa na bajeti ya manunuzi ya magari ya viongozi, Na wewe kama waziri wa fedha unaona sawa tu! Wanafunzi wanaketi chini, mmefuta bima ya afya kwa watoto na fedha zinaelekezwa kwenye matumizi ambayo si vipaumbele vya wananchi na haiwagusi wananchi mmoja mmoja! Na wewe kama waziri wa fedha upo na umepitisha!
wakipunguza kodi madeni watalipa na nini mkuu yaani jinsi tunavyokopa na kupambwa kwamba deni ni himilivu ndivyo hivyo hivyo kodi zitakavyopandishwa mujarabu ilimradi watanzania muishi kama tumbiliPunguzeni mikodi mnaua uchumi