Tanzanialeaks apuuzwe, Hazina haijafilisika

Mwigulu ume panic, hao Tanzania Leaks mimi siwapuuzi kwasababu nikiunganisha dots zangu napata majibu hii serikali yenu inapumulia mashine.

Unaleta thread halafu unakimbia kuogopa maswali, kama unajiona uko busy usiwe unaleta thread JF kujisafisha kiuoga, kama unajiamini uko vizuri leta uzi usimame kuutetea uzi wako.

Huchezi na watoto hapa.
Hamuoni mwenzie Dkt. Gwajima D akileta hoja mnapambana naye kwa hoja? huyu akileta hoja anatoka nduki.
 
Mmezoea kukanusha ila baadaye mambo yanakuwa hadharani. Mtaweka wapi sura zenu?

Sitasahau siku PM Majaliwa alivyotuaminisha akiwa ndani ya msikiti kwamba Comred Pombe Magufuli yu na afya tele tena anachapa kazi...
 
Tozo na kodi ndio vinaendesha nchi.hata Ulaya wanalipa sana kodi na tozo kwa maendeleo yao.
Kama unadhani Ulaya nchi zinaendelea kwa tozo na kodi basi wewe ni kilaza wa mwisho.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia ikichagiza uzalishaji wa mali viwanda ndiyo chachu kuu ya maendeleo ya nchi za Ulaya.
Wewe hauna biashara ya maana unayofanya,una import mpaka sindano unategemea ujenge nchi kwa tozo na kodi si utakua punguani!?
Uliza Ulaya;
-Mauzo ya magari.
-Mauzo ya silaha.
-Mauzo ya mali za kawaida za viwanda kama nguo,fenicha,mipira,vipuli, n.k n.k. Vinawaingizia pato kiasi gani katika mataifa yao.
Wenzenu Ulaya wamefanya mass industrialization kiasi wamepunguza mass importation imefanya kulinda hela kwenda sana nje na wanafanya mass exportation ili kuingiza zaidi pesa za nje.
Wewe unategemea ujenge nchi kwa tozo na kodi ambazo hujatengeneza mazingira wezeshi ya raia kuajiriwa wala kujiajiri/kuwekeza.
AISEE hii nchi ina safari ndefu sana.
 
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.

Lakini mbona Hazina, mbona malipo mengi ikiwemo wakandarasi ya kuwa rejected?
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.

Lakini mbona malipo mengi yakiwemo ya wakandarasi kuanzia mwezi wa tano yamekuwa rejected?!
 
Hon. Minister let all the allegations pass at the moment since I am ready to buy your most technically fabricated defense put foward that this is the second week of the new govt fiscal year.

I still wonder why you failed to give us timeframe ya kumaliza hayo madeni unayosema madogodogo yanayotokana na internal operations za YAPI pamoja na hao wanaodai kwa maana ya Hazina waharakishe mahesabu ?

Hivi huoni hii ndio bankruptcy yenyewe? Kwamba hujui bankruptcy ni nini?
 
Mh Mwigulu
Ni rahisi Wananchi kumuani huyo Tanzanialeaks hasa wakitazama misafara ya V8 150 katika nchi masikini.
Unachokisoma hapa kwa Wachangiaji ni hasira kutokana na maisha ya anasa mnayoishi mkiwakaba wao walipe tozo, ushuru, kodi n.k.
 
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.

Hongera kwa kazi ndg;
Ila huku mtaani mbona hali ni tofauti?
Je, uchumi ni nadharia tu?
Au mwenzetu hauishi TZ?
Kingine;
I know how smart you are,mshauri Rais a minimize government expenditures.
 
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.

Kwamba unaona hatujui lolote tunasubiri ww ndio utupe taarifa za uongo? Serekali haina hela na ushahidi ni kutokulipa wafanyabiashara wengi wanaoidai serekali. Na sasa hivi hamna wa kuwakopesha maana mmefulia.
 
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.

Mheshimiwa ninyi mkimaliza muda wenu wa bunge miaka 5 mnapewa pesa zote. Kikokotoo sijui kama kinahusika! Wenzenu hawana akili za kutunza 100% ya malipo yao wakipewa?, ila ninyi ndo mnaweza kutunza pesa? Yaani aah.........sijui nielezeje inauma. Wapeni wastaafu pesa zao zote kama ninyi mnavyochukua naamini mnachukua zote! Nao Wana akili ni zao. Kama wanafanyia vya maana wafanye, wakiibiwa wakafa na presha ni zao, wakihonga zote ni zao, mnakaa nazo za nn? Ni zenu? Kuweni na huruma. Kila mtu afe na chake!!!!!
 
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.

Muheshimiwa, tatizo kuna ya nyuma serikali iliwahi kuyakana lakini ikaja onekana yaliyokanwa kumbe yalikuwepo kweli. Mfano;

1. Ngorongoro ilipouzwa, ilikanushwa. Gazeti la motomoto lilifungiwa mazima na mmilikiwa wake (Stanley Katabalo) alifariki

2. Zanzibar kujiunga na OIC nalo lilikanwa kama hivi, lakini ikaja onekana kuwa ni kweli Zanzibar ilifanya hivyo.

Sasa kwa kutumia uzoefu huo, hata hili inawezekana ikakanwa leo, lakini with time, ikaja onekana kuwa ni kweli..!!
 
Back
Top Bottom