Tanzanialeaks apuuzwe, Hazina haijafilisika

Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.

Mbona hamjalipa madeni ya wazabuni miezi 7 sasa
 
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia

Mh Waziri ina maana hujuwi inflation ni bad indicator kwa uchumi?
Tumeanza mwezi wa saba bidhaa zipo juu hatari
Mafuta ndio usiseme vituo mafuta yakidebe
Mtaani kupo Doro... pesa hakuna n kama pesa hakuna maana yake nini?
Usd huna umeleta sheria yakutumia tshs while una calculator base on usd sasa hizo FX utapata wapi Black marker kama yote.
Nenda kwenye mabank ujionee
Mmetunga sheria ambazo mnaenda leta tatizo kwenye uchumi penalty za ajabu kweli. Sasa TRA watakusanya penalty au kodi ? God have a mercy on Us
 
Yaani kwa rekodi mliyonayo ni bora kumuamini shetani kuliko nyie (others might argue you are one and the same)

Lakini anyway najiulize mashine zote mnazowasha, umeme bado upo juu..., uchumi kuongezeka, watalii kuongezeka na kwa maneno yenu leo tupo pazuri kuliko jana...., Iweje kitaa hali ya leo mbaya kuliko ya jana ?
 
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.

Comrade nchemba!

Muda utaongea zaidi!

Tumekua na tabia ya kujibu maswali magumu Kwa majibu rahisi sana!

Kama mhusika anasema hazina imekauka,wewe unasema siyo kweli!!?basi ungeonyesha jinsi hazina ilivyosheheni imejaaa vilivyo Ili kumkosoa kimantiki mhusika!!!

Mungu aibariki jamhuri katika maamuzi na hatma ya utumishi was makada waaminifu ndani ya chama chetu na serikali
 
Mh Waziri ina maana hujuwi inflation ni bad indicator kwa uchumi?
Tumeanza mwezi wa saba bidhaa zipo juu hatari
Mafuta ndio usiseme vituo mafuta yakidebe
Mtaani kupo Doro... pesa hakuna n kama pesa hakuna maana yake nini?
Usd huna umeleta sheria yakutumia tshs while una calculator base on usd sasa hizo FX utapata wapi Black marker kama yote.
Nenda kwenye mabank ujionee
Mmetunga sheria ambazo mnaenda leta tatizo kwenye uchumi penalty za ajabu kweli. Sasa TRA watakusanya penalty au kodi ? God have a mercy on Us
Hapa kwenye dola sijui hata wanafanya nini...yale yale tu. Kwa nini base iwe dola?
 
Hivi ndivyo inavyotakiwa Waziri kuja kuzipangua Hoja jambo la Ajabu Waziri Bashe mbona haji humu kuzipangua hizi hoja za Mitandaoni kuwa anakula na Mama.
Bora hata madilu kaja huku ila bashe akigusa humu naona siku hiyo atakimbia maana tuna maswali na huyo mwamba na sidhani km atakua na majibu.Ombi langu huyo jamaa ajichanganye aje humu🤣🤣🤣🤣
 
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.

Kwa hiyo unasifu kuwa mmewasha mitambo ilihali bei ya umeme bado ipo juu Kwa watanzania, au ndo mmefocus kuuza nje instead ya Watanzania wafaidi Kodi yao wanayotoa, maana iwe pesa za ndani au mikopo still Watanzania ndo tunalipa madeni.

Halafu mkuu kama kweli una nia na uchungu kaeni mjadili mlipe Kodi na nyinyi, mishahara ipungue na jifikirie bajeti ya za magari Ni kuna na hazina msingi ilihali pesa hiyo ina uhitaji mno Kwa Watanzania.

Ukinywa chai fikiria hayo
 
Bora hata madilu kaja huku ila bashe akigusa humu naona siku hiyo atakimbia maana tuna maswali na huyo mwamba na sidhani km atakua na majibu.Ombi langu huyo jamaa ajichanganye aje humu🤣🤣🤣🤣
Hata Raisi wetu Samia Suluhu Hassan ajiunge na JF sio kusoma tu awe anapangua Hoja zetu kuhusu mambo mbali mbali yanalolihusu hil Taifa letu.
 
Yule mama yetu yy apumzike waje wasaidizi wake tuwapige spana 🤣🤣Si unajua mama zetu hawa..vijana wakitia huruma mama anawasamehe acha waje vijana alio wapa dhamana 🤣🤣
 
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.

Mnaficha kitu ambacho kiko wazi kabisa ,wananchi sio wapumbavu kama mnavyofikiri .
Miradi kibao imesimama ,hata wakandarasi na Wazabuni hawalipwi ni karibia mwaka sasa ,na wanadai madeni kibao .
Miradi kama ujenzi wa meli pale Mwanza ,reli kipande cha Isaka -Mwanza mchina kadimamisha kazi na kupunguza wafanyakazi , yapi alishakimbia .
Acheni upumbavu ,nchi inapumulia mashine kwa uroho na upumbavu wa kufuja pesa ña ufisadi
 
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).

Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.

Aaaah! Mh.Nawe huwa unaandika buana
 
Back
Top Bottom