Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam mkubwa
Nikweli anaweza kukutana na GenZ wetu wa matusi lakini kuandamana ZERO.Yule mama yetu yy apumzike waje wasaidizi wake tuwapige spana 🤣🤣Si unajua mama zetu hawa..vijana wakitia huruma mama anawasamehe acha waje vijana alio wapa dhamana 🤣🤣
Nakutakia usiku mwema leoNaam mkubwa
Daraja la Busisi pia na ujenzi wa meliUjenzi wa SGR kule Mwanza umesimama kwa sababu gani kama kila kitu kiko sawa huko hazina?
Sio kuanzia mwezi wa tano ,hili suala ni tangia mwaka jana , ni muda mrefu sanaLakini mbona malipo mengi yakiwemo ya wakandarasi kuanzia mwezi wa tano yamekuwa rejected?!
Ondoa tozo mzee baba, nje ya madPuuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.
Bw. Mwigulu Nchemba, vitu vingine inapaswa ukae kimya, siyo kwamba Watu wote hawa ambao wamekaa kimya ukafikiri kuwa hawajui kusema au hawana kitu cha kusema, la hasha. Wamenyamaza kimya kwa kuwa wamechagua kukaa kimya ili kulinda heshima zao kwani hata mtu kichaa akiamua kukaa kimya huonekana ni mtu mwenye busara na hekima.Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.
Daktari NchembaBw. Mwigulu Nchemba
Hili linaonyesha jinsi wasivyo na akili, magari ya umeme yana kila faida kwetu kuanzia afya zetu, gharama na uchumi kwa ujumla, wakati mwingine unafikiria labda wamehongwa na wauza mafuta au hawana akili tuu, kweli inasikitisha sanaHongera kwa kujiunga "JAMII FORUMS". swali langu mbona mmeweka kodi kubwa kwenye magari ya umeme,kwa nini msipunguze kodi ili Wananchi tununue hayo magari tuondokane na uchafuzi wa hewa?
Kwahiyo hata mtaani pesa haijakauka!? Tukisema wewe ndo muongo tutakosea? Au unadhani wote tunamiliki Mabasi kama wewe?Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.
Nilifikiri umeandika uzi kuwa sasa ni rasmi watanzania kupokea pesa kutoka paypalPuuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.
Duuuh kweli watu wana njaaAfadhali umekuja kulisemea hili muheshimiwa, maana watu wasio itakia nchiyetu.
Mkuu unafanya kazi nzuri sana tena huku mtaani tunakufurahia kwa utendaji wako ulio tukuka mh waziri.
Sasa mkuu naomba unisaidie jambo moja ambalo ni lamuhimu sana, yaani sipo vizuri kabisa naomba uniwezeshe kiasi walau nipate kununua mlo wa siku tatu.
Wewe ndio tegemeo la nchi yetu kwasasa mh waziri, na tunajivunia sana uwepi wako hapa nchini na ndio sababu tunapata maendeleo kwa kazi ya 5G.
USINISAHAU OMBI LANGU MH...
Hahahaha 🤣🤣 yanatoa maziwa?Huku kwetu mabomba ya maji yanatoa maziwa kila siku asubuhi mkuu...🤣
Tunampongeza sana mh waziri...😊
Unalalamika tozo wakati hata tin namba huijui, punguza ulevi mkuuPunguzeni tozo mnatuumiza wananchi.!!