Nyie ndio watoto wa juzi na mmeharibu sana JF hii. Awali JF ilikuwa uwanja mpana sana wa majadiliano bila woga na kuheshimiana na karibu Mawaziri wote senior walikuwa humu, wanasiana wote mashuhuri na watendaji wa taasisi zote uzijuazo na taasisi zenyewe zikawa na page zake.
Lakini vijana wa kitanzania wa hovyo mkaingia humu na matusi na kejeli hivyo jukwaa likadharaulika.
Kulikuwa kukishushwa nondo zilizoshiba za kina DR Slaa na ma profesa kadhaa hadi unasahau kazi ili usome hoja.
Sasa wamejaa kina
Lucas Mwashambwa & company JF imekuwa kikundi cha kwaya ya mapambio na kuabudu utadhani watu tumekatwa vichwa!