Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tugutuke

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
501
Reaction score
166

Steven Kanumba​

Popular Tanzanian and occasional Nollywood actor, Steven Kanumba, has been reported dead.

The cause of his death has not been officially confirmed, but reports have it that he was fatally injured after a fall. News has also emerged that he was in an altercation with a lady, allegedly an aspiring actress, Elizabeth ‘Lulu' Michaels which led to the fatal fall.

But there are conflicting reports saying his death was as a result of a car accident on his way home from a night club on Friday, April 6, 2012.

Steven ‘The Great' Kanumba, born January 8, 1984, was a very popular actor in his native East African country of Tanzania and was also a producer and director with numerous films to his credit.
==============
Kwa habari ambazo kiukweli sina uhakika nazo sana eti Bongo Movie Super Star Steven Kanumba amefariki Dunia usiku wa Ijumaa kuamkia J'mosi. Na mwili wake unapelekwa Muhimbili kuhifadhiwa.
More updates to follow...
  • JF has confirmed his death
  • Source of his death unconfirmed
  • Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Kanumba alianguka na kuumia kichwani baada ya mpenzi wake ambae anatajwa kuwa ni mwigizaji LULU kumsukuma na kuanguka wakati wanagombana.
    ‘Inasemekana' Kanumba wakati akijiandaa kutoka saa sita usiku aliingia bafuni kuoga, alipotoka alimkuta Lulu akiongea na mwanaume mwingine kwenye simu ndipo alipokasirika na ugomvi kuanza.
  • Lulu ameshikiliwa Polisi Oysterbay, inadaiwa ana majeraha pia.
  • Mwili wa marehemu uko katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya Muhimbili.

Hali ilivyo nyumbani kwa marehemu:


 
Msanii wa bongo movie, stephen kanumba aka the great amekutwa usiku huu akiwa anatoka mapovu mdomoni na nafsi ishamtoka, ndugu, jamaa na majirani wapo katika harakati za maandalizi ya msiba, ntawajuza kinachoendelea.
 
All human being are mortal.
Death is the last step of life.
RiP kanumba.
 
STEVE Kanumba the Great is no more......Amefariki dunia usikuu huu. Kilichosababisha kifo chake hakijafahamika, ila tumetaarifiwa na mmoja wa watu waliofika nyumbani kwame muda mfupi baada ya kanumba kututoka,
 
Last edited by a moderator:
R.I.P. Steve Kanumba, your legacy will live forever!
 
Naona hata DJ Choka kabandika hiyo habari kwenye blog yake.

Kama ni kweli basi poleni wafiwa wote.
 
habari zilizotangazwa hivi punde zinaeleza kuwa msanii maarufu wa filamu za kibongo kanumba amefariki dunia katika hospitali ya taifa ya muhimbili,ugonjwa aliokuwa anaumwa haujawekwa bayana.source taarifa ya habari ya tbc taifa saa kumi usiku
 
Kama ni kweli basi R.i.p kipenzi cha wengi.
Ray kapata pa kutokea sasa
 
R.I.P Kanumba...kama ni habari ya kweli inasikitisha, gone too soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…