Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Rip, kanumba, mbona hizi taarifa zinanichanganya, maana kunamtu kasema amekunywa sumu!
 
Mauti hayana dawa ndugu Kanumba,S... nenda kwa amani ya bwana ipo siku twaja onana,inshallah!
 
CCM hao...si alitangaza nia ya kugombea ubunge Shinyanga??...Na lazima angegombea kupitia CDM.RIP Kanumba.
 
Yes I'm at arround mortuary area at Muhimbili na mwili wake umefikishwa muda mfupi uliopita. RIP KANUMBA
 
Dah,vijana kweli tufanye Ibada,kifo hakina UMRI wadau,wamebak wazee Lukuki waliojichokea
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Lah! inasikitisha sana! inakuwa ngumu hata kuamini kama kweli Kanumba amefariki, Mungu ialaze roho yake kipenzi cha wengi. Amin.
 
R.I.P Kanumba! lakini hii ni habari ya kisiasa???????????????
 
View attachment 51178
kwa habari ambazo kiukweli sina uhakika nazo sana eti bongo movie super star steven kanumba amefariki dunia usiku wa ijumaa kuamkia j'mosi. Na mwili wake unapelekwa muhimbili kuhifadhiwa.

More updates to follow...
  • jf has confirmed his death
  • source of his death unconfirmed
.... R. I. P
 
Huenda kafa kwa kutolewa kafara na dingi yake yule wa GAMBUSH (USUKUMANI) si mnaukumbuka ule ugomvi wao?
 
Back
Top Bottom