Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
wewe! Unaushahidi na usemayo?Ukitaka mafanikio kwa ushirikina lazima ujue mauti yapo mlangoni. R.I.P Kanumba.
R.i.p kanumba!
RIP Kanumba. hatukuwahi kusikia alikuwa mgonjwa siku za karibuni, je nani mwenye data chanzo cha kifo cha mpendwa wetu?
habari zisizo rasmi za mwanzo zinaonyesha kasukumwa na mpenz wake aitwae lulu baada ya kutoka bafuni.ugomvi kt ya umetokana na sm.source clouds fm.
dah inashangaza sana kwakweli..mtu wa namna hii basi yeye ndo mshirikina hivyo anadhani kuwa kila mwnye mafanikio ni mshirikinawewe! Unaushahidi na usemayo?
Ukitaka mafanikio kwa ushirikina lazima ujue mauti yapo mlangoni. R.I.P Kanumba.
...maneno hayo clouds wameyatoa wapi...??? Wameambiwa na nani..?? Au walikuwepo eneo la tukio...