Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

R.I.P Kanumba,sure whenever death comes we are forced to review our deeds and destination
 
R I P kanumba na Mungu akupatie pumziko ya amani milele
 
Mungu wa rehema amrehem steven kanumba na ampokee kwenye nuru ya uso wake.amen
 
RIP Kanumba. hatukuwahi kusikia alikuwa mgonjwa siku za karibuni, je nani mwenye data chanzo cha kifo cha mpendwa wetu?


Tusisahau maneno ya baba yake yaliyokuwa yameandikwa kwenye gazeti la Kiu,kuwa aombwe radhi,kwa kumponda kwenye TV kuwa huyo babake na mamake wa kambo walikuwa wanamtesa alipokuwa wanaishi naye Shinyanga!
 
Rest in peace kanumba, bwana alitoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amen.
 
habari zisizo rasmi za mwanzo zinaonyesha kasukumwa na mpenz wake aitwae lulu baada ya kutoka bafuni.ugomvi kt ya umetokana na sm.source clouds fm.


...maneno hayo clouds wameyatoa wapi...??? Wameambiwa na nani..?? Au walikuwepo eneo la tukio...
 
lakini si aliwahi kusema LULU ni kama mdogo wake..!?
 
RIP Kanumba, tasnia ya filamu nchini itakukumbuka sana
 
Back
Top Bottom