Nimeota Ramsey kafunga goal la ushindi against Man six! This time mtu anavuta kwanza then Ramsey anascore!
Ray inabidi ahojiwe na yeye coz hawa watu walikua wana beef na ray alipiga pix za mahaba na lulu ili kumuumiza kanumba so inawezekana ray kachonga mchongo na lulu wammalize,Police wetu wa tanzania mpigeni Pinch Ray ataeleza ukweli.
R.I.P Kanumba, habari zinasema kumwa alivyosukumwa na mpenzi wake aliangukia kisogo ndipo umauti ulipomfika.
ni kweli kaka, amekutwa kwenye gari yake aina ya Haria amefariki dunia, Siamini macho yangu........
Ray inabidi ahojiwe na yeye coz hawa watu walikua wana beef na ray alipiga pix za mahaba na lulu ili kumuumiza kanumba so inawezekana ray kachonga mchongo na lulu wammalize,Police wetu wa tanzania mpigeni Pinch Ray ataeleza ukweli.
ndiyo yule aliekuwa anamponda Baba yake mzazi kwenye vyombo vya habari? Kama ndiye basi ni laana ya kuwaponda wazazi. Maandiko yanatutaka kuwaheshimu Baba na Mama ili tupate kuishi miaka mingi na tupate heri duniani. Mara nyingi tukiwa na mafanikio huwa hatukumbuki kuna michango ya wazazi. Hata kama angekuwa anakuchapa kila kukicha but kakuleta duniani. Kama ndiye, Mungu amrehem jamani. Na sisi wengine tujifunze na tusilewe tukatukana wazazi.
Twendeni taratibu jamani; kuanza kudai huyo binti "kamuua" tunaenda mbali sana. Inawezekana kabisa ni accidental death. Maana wengine wanaseema "kauawa" ni kana kwamba kulikuwa na mipango na nia ya kufanya hivyo. Yaani, hili haliangukii hata kwenye crimes of passion kama ndivyo lilivyotokea. Twendeni taratibu na huyu binti mdogo tusianze kumshakizia mzigo wa mauaji wakati hatujui nini hasa kilitokea kati yao. Lets get the details before we form opinions.
Ni kweli mkuu.Hata maiti ilivyokuwa inashushwa pale Muhimbili Ray alikuwa busy kweli kuipiga picha maitidah,hlo nalo linapaswa kufanyiwa investigation
Acha utani mkuu, watu tupo msibani saa hii.
Kwa hiyo ndo kusema jamaa hawashindi ni mpaka mtu afe?