Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM hao...si alitangaza nia ya kugombea ubunge Shinyanga??...Na lazima angegombea kupitia CDM.RIP Kanumba.
Kanumba wiki iliyopita katika kipindi cha Take One kinachorushwa hewani kupitia Clouds TV alimtolea uvivu baba yake, Mzee Kusekwa akidai amechangia katika mateso yake aliyoyapata utotoni.
Baada ya Kanumba kueleza hayo, baadhi ya watu wakiwemo wasanii wenzake walimshangaa na kueleza kuwa kitendo alichokifanya si cha kiungwana kwani mzazi ni mzazi tu, hata kama amekosea si sahihi kumdhalilisha.
Ile bible statement isemayo ''Waheshimu baba yako na mama yako ili siku zako zipate kuwa nyingi'' Ina mahusiano gani na hiki kifo. katika afrika bara ambalo uchawi bado una nguvu sana watoto hawashauriwi kuwashutumu wazazi hadharan, ni hatari sana.
RIP Kanumba
Pole Lulu hapo Oysterbay police tulia usiropoke ropoke ndo yeshatokea mdogo wangu.
Ni kweli mkuu.Hata maiti ilivyokuwa inashushwa pale Muhimbili Ray alikuwa busy kweli kuipiga picha maiti
Miez michache iliyopita hapa kuna thread ilianzishwa kuwa Kanumba kafia kwenye msitu wa Amazon akiact movie.
Tarehe 1/4 sikukuu ya wajinga watu walituma sana sms kwenye BBM kuwa the guy is dead.
ITV Alhamis walikuwa wakonyesha maisha ya Kanumba alipoanza kuagiza..
Jana michuzi alitoa clip ya kujikumbushia kuhusu Kanumba baada ya kutoka BBA.
Today...He is dead kiukweli!