Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Hellow guys, oh its amazing and unbelievable this must have nocked him with nondo eh!
 
CCM hao...si alitangaza nia ya kugombea ubunge Shinyanga??...Na lazima angegombea kupitia CDM.RIP Kanumba.

Mkubwa!
Kidoogo au kwa mbali ! Tuwe tunavaa walau mask kwenye issue nzito ihusuyo maisha ya Binadamu, KUTUCHANGANYIA NA HABARI ZA SIASA! Hapa habari za C.c.m na sijui Chadema, hapa haikua sehemu yake!
Kauli yako inaonesha una elements za kuufurahia msiba huu!
 

Acheni hizo hukumu zenu bwana...na wale watoto wachanga wafao..
 
RIP Kanumba
Pole Lulu hapo Oysterbay police tulia usiropoke ropoke ndo yeshatokea mdogo wangu.


Mama naona upo kitengo cha police hebu tunyofolee more info i means upo kati ya hizo sehemu, ni kweli yupo oysterbay???
 
This is very sad.

Jana nilipitia Michuzi Blog, nikakuta clip ya Kanumba alipotoka Big Brother Africa.
Alisema kwamba amesikitishwa sana na Watanzania, tulivyomzodoa kwa ajili ya interview aliyoitoa.
Alisema kwamba Watzania tutamkumbuka kwa mchango wake akiwa mzima au akiwa amekufa!

Leo yametokea; Unfinished life.

Rest in peace, The Great Kanumba.

Surely, We will miss you.
 
R.I.P Kanumba

Who is this LULU???? Jana nimenunua ma CD yake kwa ajili ya familia kuchangamka Easter, da sasa hiki kimnyama LULU
 
Tuwe na subira, ni mchakato tu wa kimaisha, wote tutaelekea huko.
 
Ray anaonekana bize kupiga picha wakati mwili unaingizwa muhimbili,leo naona atafanya ka part kimtindo!
 
"Chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana Chunga sana alishasema Salu T"----Fid Q
 
Bwana Mungu akupe pumzingo la milele kipenzi cha watanzania ST. Kanumba
 

Wewe huwezi kuamini mpaka umeona maiti na ndio maana mpaka leo hii huamini kuwa chama chako cha magamba kilishindwa Aru Meru!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…