Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

rip kanumba

kazi zako sasa zitauzwa kama njugu na ingekua kwa wenzetu familia yako ingenufaika.

Nina mashaka na watakaonufaika na jasho lako,nina mashaka kama familia yako itaambulia jasho lako!

Rip Kanumba
 
Inasikitisha kuona nyota iliyoanza kung'ara ikizimika ghafla.RIP Kanumba.
 
Isije akawa anaigiza alafu siku ya 3 akafufuka kama emanuel!! Au mmesahau jamaa ni msanii wa maigizo
 
RIP Steve Kanumba.Bongo Movie super star wa Ukweli.Jina la Bwana lihimidiwe....Huyo LULU anayetajwa tajwa na kifoo chake ni LULU gani jamani....?
 
so sad, huyu jamaa alikuwa anasubir nin kuoa mpaka anakuja kufanyiwa kituko na kitoto kama lulu, najua marehem alaumiwi lakin 2jadili ili wengine wajifunze
 
Death is only passing through God's other door. R.I.P
 
Inasikitisha sana kuona vijana walioanza kufanikiwa kimaisha wanafariki wakiwa na umri mdogo,very sad!! R.I.P Kanumba.
 
... some say it's to do with Freemasonry ideals. Let's wait.
 
Thats the case finding please attach any recent photo showing waombolezaji kwa mshkaji tuamini eti.
 
Ray inabidi ahojiwe na yeye coz hawa watu walikua wana beef na ray alipiga pix za mahaba na lulu ili kumuumiza kanumba so inawezekana ray kachonga mchongo na lulu wammalize,Police wetu wa tanzania mpigeni Pinch Ray ataeleza ukweli.

Aaah achen hizo bana ray ni ray na kanumba ni kanumba
siku zote kila m2 anahitaj kusucces kama mtu ameanguka nyumban kwake iweje ray ahuske?
 
Mimi ni mmoja wa watu ambao si mashabiki (SIPENDI) wa tasinia ya filamu za Tanzania kwakuwa filamu zao zote ni za Kughushi, lakini kwa kifo hiki cha Kanumba kimenistua

RIP Mburudishaji!
 
Da jamani pole sana kama ni kweli kazi ya Mungu haina makosa bwana ametoa,bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe ,nasi tuliobaki tumgeukie Mungu kwani vijana wengi ndo tunaoongoza kwa kujisahau wakati binadamu wote hatujui siku wala saa plz tubadirike jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…