Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Alikuwa great kwa wapenda maigizo na mashost wote. Nasikia party zote zimecanceliwa, kisa mashost wote wameenda sinza kwenye msiba.redio zetu hakuna coverage kabisa....kanumba was great bana.....tv ndio kabisa..tbc wanapiga mitaarabu yao......
.Mi binafsi nimeshtushwa sn na kifo chake, lkn ndo hivo tn kazi yake Mungu haina makosa. Sote tupo safarini.
R. I. P Kanumba the greatest.
redio zetu hakuna coverage kabisa....kanumba was great bana.....tv ndio kabisa..tbc wanapiga mitaarabu yao......
.
Source of information plz
ray kafanyaje naye?Wasimsahau na Ray aende kuisaidia polisi.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi! Mapenzi yanaua....! Tujitahidi yasitupumbaze sana! Omba mungu upate mchumba/mke mwaminifu!
]Kutoka 21:15-17 [/B]
R.I.P Kanumba.
enheee...Ampigaye baba yake au mama yake sharti atauwawa
Yeye amwibaye mtu na kumuuza au akipatikana mikononi kwake sharti atauwawa huyo
Yeye amwapizaye baba yake au mama yake sharti atauwawa....
R.I.P Kanumba...kama ni habari ya kweli inasikitisha, gone too soon
We kama umejidhatiti kwa yote hayo, inamaana hutakufa?
.Nenda kwenye jukwaa la habari mchanganyiko.