Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 51178
kwa habari ambazo kiukweli sina uhakika nazo sana eti bongo movie super star steven kanumba amefariki dunia usiku wa ijumaa kuamkia j'mosi. Na mwili wake unapelekwa muhimbili kuhifadhiwa.
More updates to follow...
- jf has confirmed his death
- source of his death unconfirmed
- taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kwamba kanumba alianguka na kuumia kichwani baada ya mpenzi wake ambae anatajwa kuwa ni mwigizaji lulu kumsukuma na kuanguka wakati wanagombana.
inasemekana kanumba wakati akijiandaa kutoka saa sita usiku aliingia bafuni kuoga, alipotoka alimkuta lulu akiongea na mwanaume mwingine kwenye simu ndipo alipokasirika na ugomvi kuanza.- mwili wa marehemu uko katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya muhimbili.
Hata David kijana mdogo alimpiga knock out Golliath, jitu kubwa miraba minne. Unashangaa!
Ni neno ulilolitamka ww Kanumba ukunfanya nlifahamu na sasa mimi nalirudia kwako APEPE ( Alazwe Pema Peponi) Kanumba the great
Usituletee imani zako hapa.... Nani kakwambia filamu ni kitengo cha shetani!!! Ni kazi halali inayoingizia watu kipato halali. Kumbuka "Asiyefanya kazi na Asile".
Aiseeee pole sana sikonge.....huyu bwana alikuwa mfano kwa vijana......
......na hii kitu lulu jamani.....nimekumbuka ile kesi ya asha mkwizu.....
......sasa JK anaomba huu msiba ungekuwa USA angepata safari......
Mbona tbc wanasema chanzo ni ugomvi? Ina maana kapigwa?