Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

au yawezekana wakati wako kwenye ugomvu jamaa alipata cardiac arrest....akadondoka
 
Ni neno ulilolitamka ww Kanumba ukunfanya nlifahamu na sasa mimi nalirudia kwako APEPE ( Alazwe Pema Peponi) Kanumba the great
 
View attachment 51178
kwa habari ambazo kiukweli sina uhakika nazo sana eti bongo movie super star steven kanumba amefariki dunia usiku wa ijumaa kuamkia j'mosi. Na mwili wake unapelekwa muhimbili kuhifadhiwa.

More updates to follow...
  • jf has confirmed his death
  • source of his death unconfirmed
  • taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kwamba kanumba alianguka na kuumia kichwani baada ya mpenzi wake ambae anatajwa kuwa ni mwigizaji lulu kumsukuma na kuanguka wakati wanagombana.
    ‘inasemekana’ kanumba wakati akijiandaa kutoka saa sita usiku aliingia bafuni kuoga, alipotoka alimkuta lulu akiongea na mwanaume mwingine kwenye simu ndipo alipokasirika na ugomvi kuanza.
  • mwili wa marehemu uko katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya muhimbili.

rip steven kanumba, the great
 
Hata David kijana mdogo alimpiga knock out Golliath, jitu kubwa miraba minne. Unashangaa!

Sasa mkuu vile vilikuwa vita,na Mungu alikuwa upande wa Israel... So kumstrengthen Daudi ni kufanikisha ushindi..

Baada ya kukufundisha hili,sasa relate na Lulu na Kanumba..
 
Usituletee imani zako hapa.... Nani kakwambia filamu ni kitengo cha shetani!!! Ni kazi halali inayoingizia watu kipato halali. Kumbuka "Asiyefanya kazi na Asile".

wanaofanya FILAMU wengi wao ni mashetan kwa matendo yao ya kipuuz.
Lyk wearin style,na uesharat
 
huyu lulu mtoto au mwingine!? Duh inasikitisha kama ni kale katoto
 
poleni sana wanafamilia wote na wapenzi wa filamu. amefanya kazi nzuri kwa taifa lake
 
Aiseeee pole sana sikonge.....huyu bwana alikuwa mfano kwa vijana......


......na hii kitu lulu jamani.....nimekumbuka ile kesi ya asha mkwizu.....


......sasa JK anaomba huu msiba ungekuwa USA angepata safari......

hahahahahahah!we mdau wewe,haya bhana!
 
RIP Kanumba! Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe, Amina.
 
Tumepokea kwa mshtuko juu ya kifo cha mcheza filamu nchini Stev Kanumba. Suala la kifo si geni kwani kila nafsi itaonja mauti. Jambo hapa la kujifunza, je Stev ameonja mauti kwa mazingira gani?. Ndugu vijana wenzangu, nimeshuhudia mara nyingi hususani hapa Tz mtu akiishakuwa maarufu hujisahau kidogo. Kashfa za mapenzi na starehe luluki humwandama. Ajali za magari huwakumba mara nyingi tena usk wanapotoka katika burudani zao. Sikatazi kutoka outing jamani...La hasha. Nilishawahi mshuhudia star mmoja amelewa kupindukia wanambeba kumpeleka kwenye gari lake. Walipomuacha tu akaliwasha na kuondoka!. Complex, Dandu ni miongoni mwao walioaga dunia kwa ajali ya magari. Walionusurika ni karibu wote. Sasa twende katika visa vya mapenzi, kuna mmojawao alishachomwa kisu na kufariki hapohapo (jina nimesahau). Kupigana na wapenzi wao imeishakuwa fasheni. Biff za kipuuzi kabisa huendekezwa. Dhuluma, utapeli, lugha chafu, uzinzi na anasa ndio nguzo zao kuu. Mliona ya T.I.D kusweka jela, KAJALA naye anamfwata. WEMA mahabusu ndio kwao. Nia yangu hapa ndugu zangu vijana ni kuwashauri tuwe makini pindi unapokuwa maarufu. Yawezekana mauti yaliyompata ndugu yetu ni bahati mbaya na kama kawaida yetu "mapenzi ya mungu" ila iwe fundisho kwetu.
 
Back
Top Bottom