Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

R.I.P Kanumba!

Kwa mila za kwetu ungezikwa na shina la mgomba, kwasababu umekufa bila kuoa wakati ulishabalehe miaka mingi.
 
mkuu! Hakuna kuomba hapa, kifo chake kama inasemekana, 7bu ni mapenzi, while huyu lulu c mke wake. Mungu wa kweli hana muda wakusikiliza kelele. Infact, tasnia ya filamu ni 1 ya kitengo cha shetani.! Sorry huo ndo ukweli


Unajua shetani anaonekana katika nyanja tofauti tofauti, hata lugha uliyotumia hapo mi naona ni yakishetani tu...
 
Nimeona habari alikuwa na lulu, ni lulu yupi huyo? Au ndo huyuhuyu asiyeishiwa skendo? Kama ni yeye basi mapenzi yame mkost
Lulu.JPG


mtuhumiwa namba moja.....
 
Inasikitisha sana kuhukumu hivi.

Unakumbuka maisha ya Baraba?
Aliyeachiwa badala ya Yesu?

Huwezi jua wakati wa kufa alifanya nini, mbinguni tutaingia kwa neema na jitihada, si kwamba ni wema sana kuliko wengine au ni smart sana.

Tusimpangie Mungu cha kufanya the guy never involved God in any way,after death judgement hes tomenting and cursing in the abbys now.Tusikitike hilo
 
Ndio ukweli ukifa hukumu right away.Kazi yake haikumtukuza Mungu wa majeshi God will never litsen to ur noisy prayers.Otherwise alichopanda amevuna.
 
Jamani mmejuaje kama alikuwa na Lulu na lulu yupi? kama ni lulu huyu mtoto ambaye na actor ni juzi alìhojiwa na Salama ktk kipindi cha mikasi na mtoto alipohojiwa kuhusu kuwa na boyfriend alikana kuwa hana mwanaume kabisa na hajawahi kuwa na mwanaume da kama ni kweli xaxa hy aibu nyingine baada ya majonzi (plz tuache udaku kwanza katika kipindi hiki kigumu)
 
Dah! RIP Kanumba,lakn imekua gafla sana ndugu yetu umetutoka!
 
hahahahahah,
i thought Kale kalulu kalikopgwa makisi ya shingo na KIGOSI

Inaweza kuwa! Dunia ina mambo! Na mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio hebu mwenye picha ya huyo Lulu atumwagie hapa tusichume dhambi bure!
 
kile kitoto wao kina kanumba ndio wamekifundisha sanaa na wamekilea ...leo kimekua wao hao hao wanaanza nako mahusiano ya mapenzi!!!!.....halafu kitu kingine huyu lulu ana nguvu kiasi gani cha kumsukuma kanumba au alimpiga na kiti kizito kichwani?
 
Back
Top Bottom