Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead


tujifunze kutafakari angalau hata kidogo. Liyumba ni marehemu na chumbani walikuwa wawili sasa hii simulizi kaitoa Lulu? Give me a break..........ukweli ni kuwa:-
"Do not deceive yourself. God is not mocked. Whatever a man sow that he shall also reap........................." Galatians 6:7

Kwa taarifa nilizonazo hususani baada ya ile movie aliyoicheza Nigeria na TZ kwa pamoja uvumi ulikwisha kuzagaa kuwa afya yake ilikuwa na mushkeli mkubwa.....................cocktail ya kibongo ilimpa siha marejeo ambayo sanasana ilisaidia kuharibu viungo ndani ya mwili wake.......................figo, maini, moyo n.k.....................suala la kuanguka is typical kwa wengi wenye khali yake....................kule malawi Bingu naye alidondoka......sijui Lulu alikuwepo kule kumvisha kaputula?
 

I see!!!
 
may his soul rest in peace
Duniani hakuna ugonjwa mmbaya na unaoua kama mapenzi.... Haya sasa kufa kufaana ni zamu ya mavuno kwa vijarida vya Shigongo vitauza kweli na speculation, udaku na uchimvi kuhusu kifo cha Kanumba
 
Clouds TV naona Ray,Claud, Stive Nyerere wapo live wakihojiwa na bi Regina
 
Jamani hili ni jukwaa la siasa na sio Celebrity, Habari za Kanumba hili siyo jukwaa husika, mods pls hebu move hii thread kunakohusika.
 
namckia steve nyerere hapa klaudi tv. eti anasema mara ya mwisho wamekunywa pombe wote maisha klab. kwa iyo marehem alikuwa mlevi..!
RIP ong'wise Kanu
 
Dah sina cha kusema zaidi ya kumuombea huko akapumzike kwa amani.
 
Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. Pumzika kwa amani SK.
 
mtoa mada tatizo lako unasoma sana magazeti ya udaku
 
mijitu mingine hovyo,,,,hizo chuki kwa kanumba hadi ktk kifo? kweli ulimchukia kwa dhati
 


Source: PRETTY SINTAH
 
Kama alikuwa hajaOKOKA basi tena RIP doesn't help; SORRY for him.
 
Naomba nipate taarifa RASMI!
Lulu yupi anaehusishwa kwenye Ugomvi au Msiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…