Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Kuna video yake imeonyeshwa akiwa amebwa kwenye machela akipelekwa mochwari...
Inasikitisha sana! Dah!
 
Taarifa hizi zimehuzunisha sana roho za watanzania hususani wapenda move za kibongo.Tutakukumbuka daima kwa jitihada ulizoonesha kwenye Tasnia hiiya filamu na kuifikisha hapa ilipo.sio siri mnajua mchango wake.Ni mipango ya Mungu tumuombee apumzike kwa Amani.you were The great and always u will be.R.I.P Kanumba we will alwayz love you.
 
yah.his works shall follow him.and after death.judgement before God.BWANA ALITOA NA BWANA AMETOA.JINA LA BWANA LIBARIKIWE.
 
Jamani kila mara tunaazwa kuachana na malaya mtu heri kuamua kuoa ukapata watoto na mke wako
mzuri wa maisha haya malaya mbwa ndiyo haya yanatuuwa kwa vipigo ,ukimwi,madawa ya kuleviya
na mengineyo mengi wanakuwa na wanaume zaidi ya kumi kwa wakati mmoja
 

kwani wewe ulisikia alikuwa anaumwa nini?
 
Wanawake/uzinzi ni source ya vifo vya mastaa wengi ila tu siri huwa hazivuji! RIP Kanumba mpe hi mtoto wa Dandu na mzee Remmy Ongala
 
Umaarufu wote ule, kujulikana kote kule, pesa zote zile, magari yote yale, majumba yote yale, mademu wote wale, nk. nk. nk. KANUMBA amefariki???

Hapa ndio namkumbuka sikuelewi std V
" Heri mimi masikini ila ninaishi"

No longer at easy

Tuthibitishie kwamba utaishi milele na huo umasikini wako!
 
Duuh hii kali. Nini hasa kilitokea? I can't believe this! Was he of Mutharika's age?
 
simjui mkuu,ndio nimekodolea macho picha yake. r.i.p .

We unaishi kijiji gani hapa Tz? Dah inaonekana hata umeme haujafika. Hata rais wako sidhani kama unamfahamu. Sema jipange uje bongoland ndo mpango. Hata kama huna ndugu utalala hata kariakoo madukani.
 
mungu amlaze mahali pema peponi.

Umenikumbusha wimbo wa mkenya mmoja alipinga msemo wako kwani hata kama tulijuwa marehemu

....alikuwa mlevi - muweke mahala pema peponi!
....alikuwa mzinzi - muweke pema peponi!
....alikuwa mwivi - muweke pema peponi!
....alikuwa anazama chumvini - mlaze pema peponi!

Jameni hatuwezi kumpangia amuweke wapi! Jina la Bwana lihimidiwe!
 
wakafunge moja kwa moja, hakana mana haka katoto

Angel dear.....Mungu wetu ni mwema na anasema samehe saba mara sabini! Hiyo yaweza mkumba mtu yeyote yule katika hii dunia haijalishi kuwa ni mtoto ama mkubwa! And am sure kuna watoto wetu wengi tu ambao wanatenda vya ajabu na ni watukutu pengine kuzidi hata huyo lulu!! Anyways........R.I.P Kanumba, muda ukiwadia hakuna wa kukikwepa kifo.....Mwenyezi Mungu akuangazie mwanga wake wa milele! Amina.
 
Wife z life but sometimes z nife to cut ur life
 
uzuri wa Tanzania bwana..hakuna mochwari za masuperstar, wala viongozi, wala matajiri..wote mochwari yetu ni ile ile..
tutadharauliana sana huku kitaa ila kule tunakutana na hakuna dharau!
REST IN PEACE KANUMBA..WE ARE COMING!!!

LIKE mkuu! Ukiowekwa kwenye mochwari aliyowekwa J.Kennedy utasikia raha? Wewe ni maiti hata wakuweke wapi....nilipenda sana jeneza la marehemu Papa Yohana Paulo II, saipulasi bila ulembo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…