Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Bila kumtaja Mbowe kwa siku huwa unawashwa? ni nani aliyekuuliza watu waliotuma salamu za pole? do you think mnaweka kuondowa attention za watu kwa dhuluma zenu kwa kuudandia msiba huu?Msiba ni sinza vatican. Michango yenu inahitajika sana.
Freeman Mbowe, Rais na Waziri mkuu wote wametuma salam za pole