Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

sijui kama marehemu alikuwa na future na haka kabinti.....alitakiwa kuwa na kifua kipana maana kale kabinti hakana mipaka kila mtu anaweza kujipumzisha nako.......inaonekana ugomvi ulikuwa mkubwa sana maana kabinti nako kamechubuka na kuumia sana.....
 
Tusimsingizie mungu kwenye mambo yasiyo ya mungu.
 
amekufa kizembe so dont tink of it, wat dd he do the chater of the state mostly
 
Kwa mchango upi alio utoa? Mkuu watu kama akina Michaele Jackson anzani unatambua michango yao, wakina Bob wakina Luckdube, hawa walipigania sana maisha ya wengine na si maisha yao pekee, mtu kama Luckdube alipigania uhuru wa south Africa na mchango wake south Africa wanautambua kabisa, si kila mtu tu ni wakipewa heshima za kitaifa ila kwa Tanzania inawezekana
 
kufa kwa kanumba si tatizo.. tatizo ni hicho chanzo cha kifo chake........sijui ni kwa nini aliloose temper na akashindwa kujikontroo...hasa akijua kabisa kwamba kale katoto ni pasua kichwa hakana maana kabisa.....alipswa kuwa na kifua kipana
 
Very good, kapotoa wengi hapa Znz wacha afe hana umuhimu wowote hapa Zenji.
Wacha aende akaone alichokichuma huko kwa Allah.

Mungu ametoa funzo kwa vijana waache kujiachia ktk hii dunia na kusahau kifo.

Usihukumu, kwani utahukumiwa.

Toa kwanza Boriti katika jicho lako kabla hujaona kibanzi katika jicho la mwenzako.

I hope hauna dhambi na kwamba hutakufa na maana anyekufa kapotoa wengi.

And I hope hukifa hutakiona hutakiona ulichochuma kwa Allah!

Vitu vingine mnaandika kama si Wanadamu au kama hamuwezi kufa!
 
who is kanumba?alikufa remmy ongala sikuona mazishi ya kitaifa.
Kuna msanii aliitwa raf nelly ametuwakilisha sana huko uholanzi lakini kifo chake hakikua cha kitaifa.
 
Rest in Peace O ng'wise,kuwa na mpenzi kama LULU ulihitaji kifua.Gone too soon.Umedhibitisha usemi usemao MAPENZI YANAUA
 
Mkuu wa kaya, anatua lini msibani?
Aliambatana na kanumba holiwud kajifunza uigizaji. Ni sharti ahudhurie
 
Hamja usoma mchezo leo kurungezi ya magogoni itatoa tamko siku 2 za maombelezo.mpaka upepo wa lema upoe.
 
Mara kasukumwa, Mara kachomwa kisu! Afu design marehemu alikuwa anakula Mzigo (kitoto lulu) kisiri siri.
 
kufa kwa kanumba si tatizo.. tatizo ni hicho chanzo cha kifo chake........sijui ni kwa nini aliloose temper na akashindwa kujikontroo...hasa akijua kabisa kwamba kale katoto ni pasua kichwa hakana maana kabisa.....alipswa kuwa na kifua kipana
Ukiwa na kifua kipana kale hukasogelei hata kwa thamani kiasi gani! RIP Kanumba.
 
Back
Top Bottom