Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzania hatuna ubunifu, Nchi za wenzetu sanaa inaingiza kipato kikubwa sana mfano America, carrebean Jamaica. Sisi tumeng'ang'ana na bia na magari. Soko la filam za kitanzania ni kubwa sana Afrika mashariki na kati. Mfano ziara za akina kanumba kongo DRC palikuwa hapatoshi full eskot. Lakini je ni jitihada gani zimefanywa na serikali katika ku exploit soko hili la film?. Tupotupo tu tumekalia politiki ndo maana uchumi unadorora, shilingi anaporomoka thamani na hakuna ubunifu tena. Wakati America uchumi wao unategemea uuzaji wa huduma ( service industry including sanaa ya music na film ss tunaashangaa tuu Tuamke jamani tuwe wabunifu)
 
EATV wanaonesha update za mpendwa wetu Kanumba.
Death is only passing through God's other door. R.I.P bro
 
R.I.P KANUMBA,THE GREAT.haka katoto lulu juzi kwenye mkasi si kalisema hakana mume wala mpenzi? Dah kameumbuka vibaya sana
 
sasa haka ka lulu kanajiskiaje?

I am sure no body is perfect na wengi tunaona makosa yao kwasababu ni ma star ndiyo maana wanaonekana wana tabia mbaya.
Sikatai Lulu ni pasua kichwa lakini sidhani ana deserve that comment au kum criticize to that extent.
Hata wanao jiita walokole nao wanatenda dhambi kwa kificho. Hakuna mwenye kujua hukumu ya Mungu juu ya binadamu zaidi ya Mungu mwenyewe.
 
attachment.php

Kwa habari ambazo kiukweli sina uhakika nazo sana eti Bongo Movie Super Star Steven Kanumba amefariki Dunia usiku wa Ijumaa kuamkia J'mosi. Na mwili wake unapelekwa Muhimbili kuhifadhiwa.

More updates to follow...
  • JF has confirmed his death
  • Source of his death unconfirmed
  • Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Kanumba alianguka na kuumia kichwani baada ya mpenzi wake ambae anatajwa kuwa ni mwigizaji LULU kumsukuma na kuanguka wakati wanagombana.
    ‘Inasemekana’ Kanumba wakati akijiandaa kutoka saa sita usiku aliingia bafuni kuoga, alipotoka alimkuta Lulu akiongea na mwanaume mwingine kwenye simu ndipo alipokasirika na ugomvi kuanza.
  • Lulu ameshikiliwa Polisi Oysterbay, inadaiwa ana majeraha pia.
  • Mwili wa marehemu uko katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya Muhimbili.

Hali ilivyo nyumbani kwa marehemu:

4.jpg

10.jpg

jamaa kafariki kweli bana
 
no hastahili kupewa state burial. Kwani ye nani hapa Tanzania, katufanyia nini cha kumkumbuka. Mwisho wenu mtaomba hata naye Zembwela azikwe kwa state burial.
Sitaki hata kumsikia coz katuharibia sana maadili ya kiafrica kupitia movies zake. Go to hell kanumba.
 
Lulu kamuua Kanumba. nimeongea na best friend wa Lulu kanihakikishia hilo na kuwa dogo sasa yuko ndani.
Mh kuwa na demu kama Lulu wala usiwe na wivu. Piga show then unasepa
 
sijui kama marehemu alikuwa na future na haka kabinti.....alitakiwa kuwa na kifua kipana maana kale kabinti hakana mipaka kila mtu anaweza kujipumzisha nako.......inaonekana ugomvi ulikuwa mkubwa sana maana kabinti nako kamechubuka na kuumia sana.....




hebu tuwekee picha tukaone!

haka katoto maskini ya Mungu kalikua kanalilia ukubwa...................wanasema kua uyaone sasa kanayaona!

poleni wafiwa, pole sana lulu sidhani kama ulikusudia kuua
 
kwa Tz inawezekana kwan hata Mkuu kaya n mwenzakda katka mambo fulani so usishangae kuskia state burial
 
Huyu kijana nilimuona kama week mbili zilizopita akiwa anaingia kwenye office ya 'Production' company. Alikuwa na wenziwe kama wawili huku wanacheka kwa starehe zao. Very sad kusikia amekufa, tena ghafla!

Huko Kigali sijui kutakuwaje maana Steve ni maarafu sana huko. RIP Steve
 
Kila nafsi itaonja mauti,muhimu kuwa tayari wakati wowote zamu yako ikifika Mungu amuweke mahali panapo mstahili!
 
EATV wanaonesha update za mpendwa wetu Kanumba.
Death is only passing through God's other door. R.I.P bro

weka hizo update hapa wewe sio kila mtu anaangalia tv muda huu? Kma huwezi kaa kimya.
 
Wandugu, watu kama akina Kanumba nchi nyingine huwapa VIP passport na huwa wanapewa mazishi ya Kitaifa, nchi zinazotambua mchango wa wasanii hawa katika kukuza jina la taifa husika katika nchi mbalimbali duniani na hata katika maendeleo ya nchi hasa katika kuelimisha nk

J e kanumba anastahili mazishi ya kitaifa?
 
Lulu kamuua Kanumba. nimeongea na best friend wa Lulu kanihakikishia hilo na kuwa dogo sasa yuko ndani.
Mh kuwa na demu kama Lulu wala usiwe na wivu. Piga show then unasepa

dah,hyo inaitwa hit n run
 
Back
Top Bottom