Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Habari ya kusikitisha!
R.I.P Kanumba
 
Sote ni wa Mwenyezi Mungu,na hakika kwake tutarejea. R.i.p ngosha!
 
Habari zilizonifikia now ni kuhusu Bongo Movie Star Steven Kanumba kuwa amefariki dunia usiku huu kwa kudondoka gafla na kukimbizwa hospital ya Mwimbili na mauti yalipomkuta.
Ndugu wanasema baadae asubuhi ndio watatoa taarifa rasmi

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
Amen
 
RIP Kanumba

Always nitakukumbuka nilipokujua ulipoingia BBA.
 
jamani kanumba ndio nani tena ndugu zangu?alale pema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…