Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

kutoka kwenye blog ya sinta kaandika hivi:
hi ma pipo kama nilivyowaahidi
nitawaletea updates sasa Lulu
(hot Lulu)yupo kituoni police
na mahututi kwani
anamaumivu na majeraha
mengi sana usoni,lulu kapasuliwa pia na Kanumba,hawa watu
walikuwa wapenzi wa muda
mrefu,chanzo ni simu
jamani,kanumba aliona lulu
anapigiwa simu za kuitwa sana kwenye
madili,sasa jamaa (marehemu
Kanumba)akashikwa
wivu,duuu mapenzi ni hatarii hot, hotter,
hottest. chezeyaaa hot lulu aiseee huyu
mtoto
 
Inasemekana kweli walikuwa na lulu nyumbani kwa Kanumba hata ndugu zake walio karibu wamethitisha hilo baada ya kusikia baadhi ya vyombo vya habari kudai kuwa amekufa katika ajali wenyewe wakapiga simu kwenye kituo kimoja na kudai siyo ajali ila amefia nyumbani walikuwa na lulu bila kusema ni lulu yupi.

MUNGU KAMPENDA ZAIDI
 
kifo cha kanumba kwangu mimi ni utata mtupu.
 
BREAKING NEWS LULU AKAMATWA AKIWA UCHI NI KIWEWE KIMEMSHIKA soma zaid blog ya sinta .. PRETTY SINTAH
 
Imeandikwa 'usihukumu nawe utahukumiwa, kwa maana kipimo unachompimia mwenzako nawe utapimiwa hicho hicho'

Mungu alikwambia Kanumba imeishije?
Amekwambia ameipokeaje roho yake?

Unadhani wewe ni msafi sana? Kiasi cha kuweza kumrushia mawe Kanumba?

Ndio ukweli ukifa hukumu right away.Kazi yake haikumtukuza Mungu wa majeshi God will never litsen to ur noisy prayers.Otherwise alichopanda amevuna.
 
uzuri wa Tanzania bwana..hakuna mochwari za masuperstar, wala viongozi, wala matajiri..wote mochwari yetu ni ile ile..
tutadharauliana sana huku kitaa ila kule tunakutana na hakuna dharau!
REST IN PEACE KANUMBA..WE ARE COMING!!!

kwani pakiwa na mochwari za masuperstar wakiwekwa huko watafufuka?
 
jamani kanumba ndio nani tena ndugu zangu?alale pema...

Katika jina lako ukitoa herufi L na I inaonesha kuwa wewe ni kiumbe unayeishi majini. Tena ziwa victoria, ndiyo maana humjui Kanumba. Au uongo? R.I.P Kanumba. Nipo njiani kuhudhuria msiba wako.
 

Mkuu acha speculation. Funguka vema unachotaka kuandika watu wakusome vema:


  1. Movie aliyoichezea Nigera ipi na uimefanya nini? Devil Kingdom aliichezea Tanzania na Noah alishiriki.
  2. Movie yake ya Mwisho ni ay Kijiji cha tambua haki
  3. Afya yake ilikuwa na Mushkeli Mkubwa upi wakati kila siku watu wanamwona mitaani yuko fiti hata hiyo Movie yake ya Mwisho?
  4. Kama ni juu ya Ugomvi ndani ya Nyumba kulikuwa na Mdogo wake Kanumba pia. Ugomvi ule ulikuwa na Sauti na hata majirani walisikia sasa kipi ambacho watu watashindwa kuelewa?
  5. Na kanumba Amem-mock God kivipi? Movie ya Devil Kingdom alikuwa anajaribu kuonyesha kuwa utajiri wa shetani hauna upako. Hiyo ni mbaya?
  6. Mkuu, mtu kufa kwa kuanguka jambo la kawaida, hata wewe inatokea unaweza kukosa balance ukaanguka na kufa
  7. Tuache utani katika masuala ya vifo. Sijakufagilia kabisa na nakuona mtu wa ajabu sana katika hili. Si jadi yetu. Umenifanya nikuweke level ya chini sana. Wewe mwenyewe unajua utakufa kifo cha namna gani? Acha kubeza wakati taifa liko katika msiba!
 
Chezeya mtoto wa Kimachame uone!!
 
R.i.p kanumba,
Wamemfundika kucheza maigizo na mwishowe wakamfundisha mapenzi sasa kawageukia

Usiseme hivyo kwakuwa sidhani kama alidhamilia kuua. Nadhan ulikuwa ugomvi wa kimapenzi na kwa maelezo ni kwamba alimsukuma jambo ambalo linaweza kumtokea mtu yoyote.
Angekuwa kamchoma kisu hapo sawa lakini kila mwenye kufa lazima kiwepo chanzo kama si ugonjwa basi ajali kama si ajali basi kauawa makusudi au bahati mbaya.
 
SINTA KATIKA BLOG YAKE KAANDIKA HAYA - LULU AKAMATWA AKIWA UCHI... PRETTY SINTAH NA HAYA NDIYO ALIYOAANDIKA hi ma pipo kama nilivyowaahidi nitawaletea updates sasa Lulu(hot Lulu)yupo kituoni police na mahututi kwani anamaumivu na majeraha mengi sana usoni,lulu kapasuliwa pia na Kanumba,hawa watu walikuwa wapenzi wa muda mrefu,chanzo ni simu jamani,kanumba aliona lulu anapigiwa simu za kuitwa sana kwenye madili,sasa jamaa(marehemu Kanumba)akashikwa wivu,duuu mapenzi ni hatarii
 
ujana maji ya moto, tukiyachezea lazima tuungue

huu ukweli hapa hakuna anayetaka kuusikia.........................lakini mtoto akililia wembe mpe ajikate mwenyewe............kutokana na wengi kuupotosha ukweli wa vifo vya vijana wengi kamwe hatuwezi kujifunza lolote. Eneo ninaloishi kuna tajri mmoja kafa kisingizio ni kuwa mkewe kamlisha sumu wakati wote tunajua chanzo lakini watru hawataki kuukabili ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…