Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Rip, kanumba, mbona hizi taarifa zinanichanganya, maana kunamtu kasema amekunywa sumu!
 
Kweli dunia mapito;R I P THE GREAT KANUMBA.
 
Mauti hayana dawa ndugu Kanumba,S... nenda kwa amani ya bwana ipo siku twaja onana,inshallah!
 
CCM hao...si alitangaza nia ya kugombea ubunge Shinyanga??...Na lazima angegombea kupitia CDM.RIP Kanumba.
 
Yes I'm at arround mortuary area at Muhimbili na mwili wake umefikishwa muda mfupi uliopita. RIP KANUMBA
 
Dah,vijana kweli tufanye Ibada,kifo hakina UMRI wadau,wamebak wazee Lukuki waliojichokea
 
Reactions: Nzi
Lah! inasikitisha sana! inakuwa ngumu hata kuamini kama kweli Kanumba amefariki, Mungu ialaze roho yake kipenzi cha wengi. Amin.
 
R.I.P Kanumba! lakini hii ni habari ya kisiasa???????????????
 
.... R. I. P
 
Huenda kafa kwa kutolewa kafara na dingi yake yule wa GAMBUSH (USUKUMANI) si mnaukumbuka ule ugomvi wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…