Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

sasa kama usiku huo walikua wawili ndani tena chumbani,hawakua wamefanya kitu?kama watakua kuna kitu walifanya before je kanumba alipata hata mda wa kutubu kidogo?hamna kitu kibaya kama kufa kwenye dhambi.
 
Kuna kaukweli lakini lazima uwaheshimu na hao walioumizwa na mtu mmoja lakini hawakuumizwa na watu 40!
 
LULU muongo yule kaumbukaje? Nakumbuku sentens yake I DONT NEED A BOYFRIEND SALAMA, I AM ONLY EIGTEEN!
 
Kumbe Kanumba alikuwa mtoto mdogo hivi? Just 28yrs?
No no no, kweli gone so soon!
 
hili ni jukwaa la kisiasa,hii mada haina mashiko yeyote hapa paleka kule kwenye mambo ya kijamii
 
sheria ya ndoa ya nchi au ya kidini? ebu fafanua
Sheria ya ndoa inaruhusu mwanamke kuolewa akiwa na miaka 14. Sijui kama imebadilishwa hivi sasa. lakini ninayoifahamu ya tangu zamani ni hiyo.
 
inaonesha mzee alimaliza kazi ya kwanza na kwenda kuoga,dogo akapigiwa na mwingine
 
sasa kama usiku huo walikua wawili ndani tena chumbani,hawakua wamefanya kitu?kama watakua kuna kitu walifanya before je kanumba alipata hata mda wa kutubu kidogo?hamna kitu kibaya kama kufa kwenye dhambi.
 
Amesaidia sana Cinema Industry ya Tanzania,
na anaweza kupewa a special tribut toka kwa viongozi,
ila sidhani kama anastahili State Burial
sababu kazi yake haikua ya kitaifa per se. Ilikua ni biashara.
Hakuwahi kusudia kutumia kazi yake kwa kuwasaidia watanzania.
 
Did he do anything substantial for the nation to deserve a state burial?
 
Lulu(hot Lulu)yupo kituoni police
na mahututi kwani anamaumivu na majeraha mengi sana usoni,lulu kapasuliwa pia na Kanumba
Well, kama ana majeraha usoni basi inawezekana alikuwa victim of spousal abuse. Pia kuna uwezekano alikuwa katika harakati za kujikinga dhidi ya kichapo kutoka kwa marehemu. Na hiyo itahusika sana katika utetezi wa kesi kama watamshitaki kwa jinai yeyote.

La muhimu kwa sasa hatakiwa kujibu jibu maswali ya polisi ovyo ovyo bila wakili kuwepo au kuandikishwa ma statement marefu ambayo yanaweza kuja kutumiwa dhidi yake. Ana haki ya kunyamaza kimywa.
 
Kwangu mimi hata Mkapa akifa leo hastahili hiyo state burial kwani ni kumuongezea mzigo mwananchi ambaye tayari ameathiriwa na wizi wa Mkapa alipokuwa rais.
 
Kanumba anastahili heshima kama ya binadamu mwingine yeyote na si heshima yakitaifa.
 
mi nlitegemea m2 kama kanumba kua mstari wa mbele kukakanya aka katoto kumbe na yeye alikua anapona
 
 
Frankly speaking apa kuna namna nyingine, mtu kusukumwa tuu tena na ka binti kadogo adi kufa? Any way kazi ya ma CID
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…