trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Unasema hivyo kwa kuwa hatukuwahi kusikia wamegombanaa au..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikataba ya kimasonic ni migumu mno na si ya kukimbilia kichwa kichwa.
Imeandikwa 'usihukumu nawe utahukumiwa, kwa maana kipimo unachompimia mwenzako nawe utapimiwa hicho hicho'
Mungu alikwambia Kanumba imeishije?
Amekwambia ameipokeaje roho yake?
Unadhani wewe ni msafi sana? Kiasi cha kuweza kumrushia mawe Kanumba?
si ndio maana kafa..au?ukiangalia hizi tweet kanumba ali tweet mara kibao kwa lulu ila lulu hakuwa interested sana ku tweet back ali tweet mata mbili tu......
inaonekana kanumba alikuwa kafika kichizi kwa haka ka toto
Marehemu ana dhambi,kwanini alikuwa na mtoto ambaye sio mke wake, alikuwa anasubiri nini kuoa?Mshahara wa dhambi ni mauti:heh:
Leo siyo siku ya kazi, kaoge, ukojoe na ulale mapema. Jamii ya kistaarabu ya kulipua wenzenu na kujilipua wenyewe kwa mabomu? Ndugu huna pointi, hata mimi nilikosa pointi nilipokuwa huko kwako miezi michache iliyopita. Leo mada hapa Kanumba kafariki, how come mtu anakuja na kushangilia kwa kifo chake?Wewe una matatizo....inakuwaje maoni ya mtu binafsi unahukumu umma wote?! Wewe na huyo hamada hamna tofauti...wote mmejawa na chuki dhidi ya makundi fulani ya watu....ni kansa isiyohitajika kwenye jamii iliyostaarabika!
Wewe ni daktari aliyemchunguza baada ya kufa?
sheria inaruhusu kuoa 15+ ingawa kuna sheria inataka under 18 wawe shuleni.
wewe ni hakimu? maswali kibao ya nini banaa