Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Alikuwa na heshima gani kama si kwa wanawake tu ambao nasikia walikuwa wanasema ndiye mwanamme handsome kuliko wote Tz!!

Alilewa sifa za umaarufu! Akawa anahangaika na vitoto hivi jamani! Wapi washauri wa kanumba?? Wana kesi ya kujibu pia!!
 
Lulu uliambiwa mwanangu, asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu. Sasa ona utaishia jela kwa kuua bila kukusudia. Umejiharibia maisha yako maana mzimu wa Kanumba hautakuacha kamwe. Haya we!!! Uliyotaka umeyapata!!!!

Ngoma ikilia sana hupasuka mwenzangu..
 
Ni juzi katika kipindi mikasi kinachorushwa eatv kinachoandaliwa na Salama ,walikuwa wakimhoji mtoto Lulu katika mazungumzo walimhoji kuhusu mahusiano ya boyfriend alikataa yule binti na kusema hatarajii na hajawahii kuwa na mwanaume ,sasa swali limejibiwa kwa kifo Kanumba na ukweli umejulikana na kuthibitishwa na ndugu wa marehemu ,kuwa walikuwa wanabishana kuhusu simu kuwa Lulu alikuwa anaongea na mwanaume mwingine na kama hiyo haitoshi kama yule mpenzi wake kwa ucku ule kule kwa Kanumba alikuwa anatafuta nini (au alikuwa ana shuti filamu mpya) yote kwa yote R.I.P. Kanumba
 
Kwa mujibu wa maelezo ya Ndugu yake Kanumba ambaye alikuwepo nyumbani hapo ni kwamba, Kanumba na Lulu walikuwa wakibishiana juu ya simu ya lulu, kwani Lulu alikuwa anaongea na simu na bwana mwingine, kanumba alipotaka kumnyang'anya ndipo walipoanza kusukumana na kanumba akaanguka na kujigonga vibaya!
Lulu kwa sasa anashikiliwa kituo cha polisi!

EATV wamesema Lulu alimwacha hai kanumba..................alipoondoka yule mdada pale kwa Kanumba........na hizo ni taarifa za mdogo wake mwenyewe Kanumba ambaye yasemekana alijirudia chumbani kwake ambako mara khali yake ilibadilika ghafla....................nionavyo tusubiri post-mortemm ripoti kabla ya kumzulia mtoto wa watu mambo mabaya....................ninafahamu usemi usema hujafa hujaumbuka unatusukuma wengi kuwa upande wa mwenda-zake
 
huyu mtoto kumbe alikuwa kituko? ana umri gani huyu

kana miaka 16,marehemu alivunja sheria kuishi na mtoto kinyumba bila ridhaa ya wazazi

kanadai kati ya wanaume 14 kalikotembea nao ni wawili tu walimfikisha

kakivaa nguo ndefu eti kanawashwa,mwaka huu ndo kalitakiwa kawe kidato cha 4
(wajawazito temeeni mate mbali)
 
aiseeee.....EATV live wabongo wanapigana kwenye msiba....msela mmojna anasema hakukuja kuuza sura
muigizaji mmoja kawaka hasira eti jamaa anakosea.....
msela anasema yeye sio chizi kwenda pale msibani......
wote hapo wanauza sura
 
Tumewazoea... Hata september 11 Osama alisema ........Allah akbar....Alshaabaab kule Somalia na Boko kule Nigeria wanachofanya mnafurahia pia. Mie huwa siwashangai sana kwani ndivyo mlivyo.....
Mi nneamua kubadilika na kuhamia kwa makafiri kwa sababu hizo hizo. Hawa watu ni sawa au pengine wamewazidi kidogo wale majini (roho wachafu).
 
Mara kasukumwa, Mara kachomwa kisu! Afu design marehemu alikuwa anakula Mzigo (kitoto lulu) kisiri siri.

Nukuu toka kwenye ujumbe mfupi unaotumwa via 15556:
“………kifo hakifahamiki ila inasemekana kala sumu…..!” Manake ni full lugha gongana!!
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe!
 
EATV wamesema Lulu alimwacha hai kanumba..................alipoondoka yule mdada pale kwa Kanumba........na hizo ni taarifa za mdogo wake mwenyewe Kanumba ambaye yasemekana alijirudia chumbani kwake ambako mara khali yake ilibadilika ghafla....................nionavyo tusubiri post-mortemm ripoti kabla ya kumzulia mtoto wa watu mambo mabaya....................ninafahamu usemi usema hujafa hujaumbuka unatusukuma wengi kuwa upande wa mwenda-zake

Mkuu mimi Naangali Cloudz tv hapa, mdogo wake ndio amesema hivyo! Na yeye Lulu ndiye alipiga simu kwa Drkuja kumcheck kanumba baada ya tukio!!
 
je kanasoma shule gani? kanaishi na wazazi wapi? wazazi nao wahojiwe kwa kumharibu mtoto
 
No he does not deserve because our country has many more things to do instead of paying a state burial for him.
But do'nt worry this is a country of peace, love and miracles so amoung the miracles of this week this can be one of them.
 
Back
Top Bottom