kanumba ni binadamu wa kawaida sana kama nilivyo Mimi au ww, kifo kimewekwa na mungu ili nafsi za wanadamu washtuke na kumrudia mwenyewe mungu. Leo kifo cha kanumba kimekua ndo story ya Tanzania, je nimarangapi umekutana na watu njiani wanaenda kuzika na ukaona ni kitu cha kawaida tu? inapotokea kwa famous people watu ndo wanashtuka. huwezi amini, kifo cha kanumba kimeumiza watu kuliko watu zaidi ya 40 waliokufa kwa mvua kubwa pale jangwani.
natoa pole kwa familia ya kanumba kama binadamu mwezangu kwani msiba ni kitu kinachouma sana na sio pole kwakua tu alikua msanii wa Bongo movie.