Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

tehe tehe with all respect jamaa alipokuwa anahojiwa na zamaradi alisema lulu ni kama mdogo wake kumbe jamaa alikua ana kula mzigo behind the scene...hata mm nakatamani haka kalulu....
unatamin ? Haya bwani, tamaa mbaya
 
kwani hivi ndo confirmed?
mhh namsikia now kamanda kinyera nuyu ni kamanda mkoa maalum wa kinondoni.......

kasema inaonekana kumekuwa na mbadilishano wa makofi na rafiki yake wa kike....anasema polisi walipigiwa simu na mdogo wake....ila wakati huo LULU ALIPOONA HIVYO ALIONDOKA.......

hivi huyu mtoto lulu ana akili kweli?????? yaani kamuacha mwenzie kazima na mapovu yanamtoka mdomoni.....
 
faida zake ni zipi kutembea na kina wema,lulu......sijaona kilichopotea ni binadamu wa kawaida sana kama watu wengine ,inauma kusikia kifo cha mtu na mazingira yake sio kama hivyo kuigiza kwake ilikuwa ni kazi na ilikuwa inamwingizia pesa yeye kama yeye
 
hyo ni manslaughter wala si murder,akudhmiria,umri kwa hapo hata kama yuko under 18 yuko liable mayb angekua under 12 kwa nanslaughter na murder tu,hukumu anaweza kufungwa, maxmum ni miaka 30,
 
Katika hali ya kusikitisha Marehemu Kanumba alikuwa akipeperusha bendera ya Tanzania nchi za nje katika fani ya sanaa hususan uigizaji wa filamu. Cha kushangaza Serikali inashindwa hata kuweka ulinzi katika msiba huu kiasi cha watu kugombana. Hii imenisikitisha sana.
wanagombania ubwabwa au?
 
Daaaah!!! RIP jembe, jirani na mjasiriamali mwenzangu.
Naweza wale waliokuwa wanategemea shughuli zake kupata chochote, wafanya kazi wenzake hasa katika kipindi hiki kigumu cha ukosefu wa ajira.
RIP, ni wajibu wetu sisi tuliobaki kufikiri jinsi ya kufungua fursa za ajira kwa vijana.
 
Kuna mambo yananipa hasira sana:

1. Kwa nini wanabeba mwili wa marehemu bila kufinika - very undignified. Wamembeba marehemu kama paka huku wengine wakipiga picha mwili wa marehemu.

2.Tabia ya vyombo vya habari ku-film wakati mwombelezaji analia! This is the lowest and private moment. Unaombeleza huku watu wanakupiga picha? hii ni intrusion kabisa.

Mwisho, badala ya kugeuza kifo cha Steve Kanumba kuwa mashindano ya kulia let's remember him kwa mazuri aliyofanya. Steve alikuwa mtu wa watu, amefanya mengi mazuri, ameburidisha watu kupitia kipaji chake cha uigizaji. Tutumie muda huu kumshukuru mungu kwa muda aliotupa kuishi na Steve and celebrate his short life. Kulia ni private issue, lakini cha muhimu hapa ni Steven na his memory.
 
Hivi Wako Jacko na Whitney H (RIP) walipata mazishi ya kitaifa eeh! Mkulu kulu wa white House alihudhuria mazishi yao?
Mzee wa Magogoni yupo nasi pamoja kwa hali na mali.
Labda kitaifa alikuwa anamaanisha kisanii....maaana kuna wasanii wanalia kisanii sanii tuu.....nachukia umaarufu...
 
rip kanumba ila ninajifunza mambo mawili
1. Waheshi baba na mama na utapata heri na miaka mingi duniani! hata kama mzazi wako alikukosea hauwezi kusema vile na inaonekana kanumba alitia chumvi kwy stori ya maisha yake, na ndio maana baba yake mzazi aliuzika sana na alimuhitaji ambuombe msamaha.
2. Ugomvi ni swala la kuepuka! Na hii tabia ya kubadilisha wanadada sio mzuri, ni kumtafuta mwenzako ambaye utaridhika naye na kuanza maisha ya ndoa, ukiwa na familia ni vema zaidi.
Sio kila kifo tuseme Mungu amependa, vingine vinaepukika kwa kumti yeye Mungu.
Munga ailaze mahali pema roho ya marehemu Kanumba.
 
hicho kitoto kipo lumande mpaka kijulikane source ya kifo cha the great k.so hatuwezi kujua now what was the source.
 
Kwa mujibu wa maelezo ya Ndugu yake Kanumba ambaye alikuwepo nyumbani hapo ni kwamba, Kanumba na Lulu walikuwa wakibishiana juu ya simu ya lulu, kwani Lulu alikuwa anaongea na simu na bwana mwingine, kanumba alipotaka kumnyang'anya ndipo walipoanza kusukumana na kanumba akaanguka na kujigonga vibaya!
Lulu kwa sasa anashikiliwa kituo cha polisi!
Mzizi, no one can confirm chanzo cha kifo zaidi ya daktari!, na pia no one can confirm Lulu ndio mhusika zaidi ya polisi!.

Please stop this nonsense!.

Nashauri subirini taarifa ya dakitari kuhusu chanzo cha kifo. Mpaka sasa hakuna uthibitisho kuwa Lulu alimsukuma, inawezekana kwenye purukushani hiyo, ni Kanumba mwenyewe ali bugi step akateleza na kuanguka bila kusukumwa na yoyote!.

Hata kama ni kweli Lulu alimsukuma, chanzo cha kifo sio lazima kiwe kimetokana na kusukumwa!. Inawezekana Kanumba alikuwa na heart problem, pressure etc, hivyo alipokasirika pressure zikapanda, au akapata heart failure ndipo akaanguka!.

Hata kama ni kweli alijigonga, subirini madaktari wathibitishe chanzo cha kifo ndipo tuendelee kujadili!.

Najua msiba huu ni huzuni kubwa, lakini nawaombeni sana, lets not be judgemental kwa Lulu!.

Mimi ni miongoni mwa waumini wakubwa wa the doctrine of "karma", kuwa there is nothing new under the sun, hakuna coincidence wala bahati mbaya, every move is a pre-meditated move, lolote ambalo limetokea, lilikuwa litokee tuu, yaani siku ya mpendwa wetu Kanumba ndio ilikuwa imefika, saa ilipotimia Mungu akamuita, hata asingesukumwa, angefia usingizini!.

After all, there is life after life and life before life!, death ni change tuu ya life form from physical body to spiritual body!.

Rip Kanumba.

Pasco
 
Kuna mambo yananipa hasira sana:

1. Kwa nini wanabeba mwili wa marehemu bila kufinika - very undinified. Wamembeba marehemu kama paka huku wengine wakipiga picha mwili wa marehemu.

2.Tabia ya vyombo vya habari ku-film wakati mwombelezaji analia! This is the lowest and private moment. Unaombeleza huku watu wanakupiga picha? hii ni intrusion kabisa.

Mwisho, badala ya kugeuza kifo cha Steve Kanumba kuwa mashindano ya kulia let's remember him kwa mazuri aliyofanya. Steve alikuwa mtu wa watu, amefanya mengi mazuri, ameburidisha watu kupitia kipaji chake cha uigizaji. Tutumie muda huu kumshukuru mungu kwa muda aliotupa kuishi na Steve and celebrate his short life. Kulia ni private issue, lakini cha muhimu hapa ni Steven na his memory.
picha ziko wapi???

kwani alichukuliwa si usiku mkuu?
 
Kwa mujibu wa maelezo ya Ndugu yake Kanumba ambaye alikuwepo nyumbani hapo ni kwamba, Kanumba na Lulu walikuwa wakibishiana juu ya simu ya lulu, kwani Lulu alikuwa anaongea na simu na bwana mwingine, kanumba alipotaka kumnyang'anya ndipo walipoanza kusukumana na kanumba akaanguka na kujigonga vibaya!
Lulu kwa sasa anashikiliwa kituo cha polisi!

Jamani hii ni simanzi kubwa. Kifo kipo lakini hakizoeleki hata kidogo.

Kwa Lulu tumwombee maana ni wazi hiyo ni bahati mbaya. Naamini binti hakuwa na nia hata ya kumpiga huyu bwana let alone kumuua!! Ni bahati mbaya sana kwake.
 
yaelekea ugomvi ulikuwa mkubwa coz kuna tetesi kuwa Lulu nae ameumizwa cna!
 
Back
Top Bottom