Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

weka hizo update hapa wewe sio kila mtu anaangalia tv muda huu? Kma huwezi kaa kimya.

sumbua akili wewe tv mpaka kwa mama ntilie nenda kaombe maji ya kunywa uangalie update. Sio kilakitu upewe. Haya changamka
 
'utafanya kwa siri ila ipo siku ardhi na anga zitayaweka hadharani'
 
Kifo hakipigi odi,Lakini yatupasa kupima afya zetu angali tukiwa tunatembea.

Hakuna kitu kifo cha gafla labda Ajali.

Na tatizo hapa si Lulu wangapi mnagombana na kudundana magumi maeneo hatarishi kifo hakijawapata?

Ni uchungu sana.

Bado nasema tuwe na mazoea ya kupima afya mara kwa mara.
 
Miaka 2 au 3 nilimblock Kwenye account yangu ya fb Basra ya kupost picha Yake akiwa mtupu.
 

wewe!upo seriouz na mawazo yako
 

Hizo nchi zinazo fanya hivyo zina "industry" inayoingiza pesa za kigeni,kutoa ajira formal kwa watu kadhaa na kulipa kodi .

Hapa tanzania Wakulima maarufu wa kahawa au Pamba au Korosho hawajafikiriwa kupewa hiyo hadhi hata katika level ya mkoa sasa ndo umuongelee kanumba tena state .

Withh all respcet Itakuwa kichekesho hilo wazo lako likifanyiwa kazi.
 
Kanumba yuko mbele ya HAKIMU wa kikwelikweli acha hawa wababishaji watupu............atajibu hizi khoja na nyinginezo ambazo alituficha lakni kwa MUUMBA ni bureki ya yote............

Kweli kabisa mkuu.Hakuna haja ya kumuhukumu mana yuko mbele ya hakimu mkuu kwa sasa.
 
Ujue kuna facts za kuangalia,tusikimbilie judgement.
1. Najua kwa Kanumba ni self container,yaani choo na bafu mule mule. Sasa swali ni je,hao majirani walijuaje kuwa Kanumba alikuwa anatoka kuoga na kutokeza yote hayo?
2. Kama kagombana na Lulu huyo mdogo wake Kanumba alikuwa hasikii mpaka wakaja kusikia majirani.?
3. Kuna uhakika upi wa kuwa Kanumba alisukumwa na kuanguka chini wakati walikuwa tu wenyewe!? Au kuna mtu alikuwa anawachungulia? Na kama mdogo wake Kanumba aliwaona au jirani yeyote anasita nini kutoa taarifa rasmi ya kuwa Kweli Lulu ndo kamdhuru Kanumba.
Kwa hyo naweza sema kuwa ripoti zote kuhusu kufa kwake ni Gossips hakuna ukweli kamili.
Tusubiri Postmorterm na Police Investigation.
 

Mwenye picha ya Lulu Pls.
 
from this we learn death is must, we dont know the time or day, just be always prepared,
jamani watu OANENI acheni kuishi katka dhambi!!!!!!!!!!!!!!
 
hata kwa dawa ila kwa mkuu wa kaya kuuzulia mazishi anastahili..
 
Umeondoka ukiwa mdogo mno kwa umri! Kweli kifo hakina huruma! Tutakukukmbuka kwa movies ulizotuachia! Dar to Lagos nk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…