Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Dah sipati picha wakati wa kuaga

aisee huu msiba umenigusa sana.Kanumba alikuwa nyota yenye muelekeo wa pekee na km nembo ya taifa ktk eneo lake.Mungu na atupe moyo wa subra watu wote tulioguswa na msiba huu.Amen
 
duh huyu dogo lulu anahard time,acheni mchezo wakuu.
 
kinatufundisha kuwa tuwe wa kweli kwani kanumba alipohojiwa alisema kuwa hana mpenzi, pia lulu naye alisema hivyo hivyo sasa lulu atawaeleza nini watanzani leo hii.

atawaeleza watanzania kuwa kwa wakati ule alikuwa anasema hivyo hakuwa na mpenzi,lakin jana ndiyo alimpata
 
R.I.P Kanumba ila umetuachia funzo kuwa wazazi ni MUNGU wa pili duniani ...LULU sasa kwako yametimia ni zamu ya dunia kukufunza walimwengu tulishatimiza wajibu wetu lakini hukutusikia

Tunashukuru na wewe upo kwenye record ya member walioanzisha thread kuhusu kifo cha Kanumba
 
Sasa mtu wa mungu na uzinifu wapi na wapi jamani?Si uungwana kufurahia kifo cha mtu lakini mambo mengine yanaepukika kabisa aisee!Mungu mpokee mja wako na umuweke panapostahili....Amiiin!
 
Kwa taarifa mbalimali ambazo nimekuwa nikisikia hapa na pale kuwa kifo cha ghafla cha kanumba kimesababishwa na kusukumwa na mpenzi wake na kuanguka na kichwa upande wa kisogo nadhani aliumia kwenya brain stem.
 
Natumaini atafanyiwa autopsy; hasije kuzikwa bila hiyo kitu.

Pumzika mahala pema ngosha/bagheshi/nghalu Kanumba.
 
COP yuko quite right anawakumbusha na wengine musifanye makosa ya kudharau wazazi wenu. Mtu mwenye akili timamu huwezi kuropoka yale maneno kwenye vyombo vya habari dhidi ya baba yako. Never
 
Back
Top Bottom