Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

REST IN PEACE STEVEN KANUMBA.... KWELI KIFO TUNATEMBEA NACHO... POLE KWA WAPENZ WA MOVIE BONGO.. TUMELIPOTEZA JEMBE.... DAH... NINGUMU KUAMIN... Inasemekana amekufwa baada ya kutokea mzozo yeye na mpenz wake akasukumwa na kuangukia KISOGO.. Wakiwa wanajiandaa kutoka out usiku wa saa sita kuamkia leo....
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe na wala kazi yake haina makosa..Uncle JJ katangulia, tutakaofuata ni sisi.
 
RIP kanumba.sisi tulikupenda lakini mungu amekupenda zaidi, mungu ailaze roho ya marehemu mahara pema peponi amina
 
NIni kimekekuta mwana wa Tanzania ?

Haiingii akilini,

Na inaniwia ngumu kuamini!

Mbona nyota yako imezimika ghafla namna hii?

Dah..............R.I.P Steven Kanumba umeipeperusha vyema bendera ya Tanzani

mipango ya ALLAH
 
hii nikweli kipenzi chetu kanumba kimitutoka leo,changamoto kwetu vijana ambao hatujaoa
 
Toa maelezo ya kutosha plz. Kasukumwa vipi? R.I.P KANUMBA
 
Kifo chake inasemekana alikuwa bafuni anaoga kujiandaa kutoka out na mpenz wake.. Aliporudi chumban akakuta mpenz wake anaongea na simu na mwanaume mwingine.. Hapo ndio ukatokea ugomvi ulimsababisha kusukumwa na kuangukia kisogo na hapo ndipo akapoteza uhai wake... Inasikitisha sana... Mapenz noma.....
 
OMG, Kanumba kafariki Duniakama lisaa limoja lililopita…
ni kifo cha Ghafla tu, alikuwa nyumbani kwake na LULU wakati kifo kinamkuta....
Pigo kubwa sana kwa Bongo movies….
IM STILL IN SHOCK…
KUNA NEWS HUWA NAFURAHIGI KUWA WA KWANZA KUREPORT BUT HII YALEO I STILL WISH NINGEKUWA SIJAAMBIWA kama naota vile...
Rest in peace Kanumba…GONETOO SOON…....
 
dah! MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
 
rip steve kanumba.
kazi zako nyingi zimebaki ktk jamii, tutakukumbuka.
 
mdau ipo thread ambayo imeelezea kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…