Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, si murder...Ni Manslaughter!
Kanumba wiki iliyopita katika kipindi cha Take One kinachorushwa hewani kupitia Clouds TV alimtolea uvivu baba yake, Mzee Kusekwa akidai amechangia katika mateso yake aliyoyapata utotoni.
Baada ya Kanumba kueleza hayo, baadhi ya watu wakiwemo wasanii wenzake walimshangaa na kueleza kuwa kitendo alichokifanya si cha kiungwana kwani mzazi ni mzazi tu, hata kama amekosea si sahihi kumdhalilisha.
Ile bible statement isemayo ''Waheshimu baba yako na mama yako ili siku zako zipate kuwa nyingi'' Ina mahusiano gani na hiki kifo. katika afrika bara ambalo uchawi bado una nguvu sana watoto hawashauriwi kuwashutumu wazazi hadharan, ni hatari sana.
STEVE Kanumba the Great is no more......Amefariki dunia usikuu huu. Kilichosababisha kifo chake hakijafahamika, ila tumetaarifiwa na mmoja wa watu waliofika nyumbani kwame muda mfupi baada ya kanumba kututoka,
Wakristo good friday si hamruhusiwi kula "nyama"