Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

jamani hivi kanumba alikuwa hata na mtoto pls, naomba kujua
 
Young-Master chapa viboko wote wako uchi mpaka msibani. Hawa wasanni aibu kwelikweli aisee
 
Ungejua wanajiolojia wa Tanzania wanaomboleza parefu sana, usingeitoa hii habari kwa staili hii.

prof Muta was Great, ana atabaki akikumbukwa sana kwa mchango wake.
MUTA KAFA?OMG,kapilima,Msindai now Muta,Rest in peace Prof
 
mi maswala ya mziki na filamu, yamenipitia pembeni kabisa, cz nimekaa jela kamiaka 5 ndo nimetoka juz juz.

jela gani mkuu,vp nyapala hawakukufanyia ki2 chochote kibaya kinyume na maumbile?
 
Poleni sawa wafiwa, Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hichi kigumu
 
kanumba ni kijana mmoja wa kitanzania aliyechangia kupotosha maadili ya kiafrika kupitia filamu zake za kipuuzi. Huyu mtoto kachangia sana watoto, mabinti na vijana wetu kupotoka kimaadili, hawashikiki nyumbani, hawashkiki shuleni wala kanisani. Watoto wetu walianza mapenzi mapema kupitia filamu za huyu bwana. Ngono imepelekea kifo chake.!
Go to hell you stupidity boy.
 
Ki vipi mkuu? Hii topic ilianzishwa tarehe 2 March 2012, zaidi ya mwezi mmoja kabla ya Kanumba kufariki. Au sijaelewa concern yako?

Ni sawa lkn haina mashiko kwa sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…