Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

jamani tusipende kuonge vitu amabavyo havina mantik kama mnajichanganya ujannaini ili uzeeni watoto waje kuwajengea nyumba sidhani kama inafaa lets work hard now ili tuendeleee kula vyetu badae ,alafu hayo ni maisha binafsi sijui kama yanatuhusu kihivyoooooo
 
hata kama baba hakuwa responsible, hakutakiwa ku react vile kwa mzaz wake aliechangia kumleta duniani.
ni upendo gan alisisitiza enz za uhai wake wakati alikuwa hampend mzee wake?
Yaan hata amri ya Mungu ya kuheshm baba na mama hakuifuata?
anyway....Mungu ailaze roho yake mahali panapoctahili....amen
.
Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na kheri duniani!!
 
huo uchunguzi wa kibongo bongo unafedhehesha heshima ya watanzania wote na tunaonekana vilaza wa kuhurumiwa. mtu aliyekufa utajuaje alikunywa pombe?? bila ya kumpima kiwango cha pombe (alcohol level) kwenye damu??? ukikuta chupa ya wiskey aina ya Jack daniel haina maana kwamba ni yeye aliyekunywa hiyo pombe, je vipi kama wauwaji wake waliweka hiyo pombe ili kuhadaa ushahidi??? Na hata kama alikunywa je alikunywa kiasi cha kumfanya apepesuke na kuanguka?? ili ujue kama hicho kiasi alichokunywa ni significant lazima upime alcohol level kwenye damu. Hapo ripoti muhimu ni ya postmortum na vipimo vya damu kama ilichukuliwa kitu ambacho sitegemei ukizingatia uduni wa vifaa na upungufu wa uelewa kwenye sekta za serkali. This country is sick!!!
 
Ubinadamu kazi,kuna wanaotaka tu wajulikane kwamba nao wamo bila kujari ni akina nani na ni wangapi ujimbe utafika.nadhani atakuwa amekunywa mvinyo wa kifaransa,tusubiri uishe tutajua.
 
jamani acheni kuwa na roho mbaya zisizo na msingi haya wewe mwenzetu lexus yako mpya huwa unaipack wapi tuje tuichek,kikubwa jamani ni kubadilika hilo ndilo la msingi
 
Wewe ni Profesa uchwara, utataka hata Wema Sepetu akifa apewe mazishi ya Kitaifa.

watu wanapenda mambo ya kijinga dunia hii. Kuna maprofesa wengi wanaofundisha madaktari wanaowatibu kila siku, walimu wao, wanakufa hawapewi hiyo heshima ndo hawa wazinzi? Yaani mnataka watu waanze kutafuna kodi zetu kumzika kanumba? Katika kuigiza kwake amebadili nini kwenye jamii in a positive way zaidi ya watoto wetu kuanza kufikiria ngono wakiwa bado wadogo? Kuna wananchi wangapi leo hawana bomba wala visima na hawapati sababu fedha zinatumika kwenye mambo yasiyo na msingi? Lakini sishangai kwa akili yenu ya ccm inawezekana mkaamua hivyo maana leo wamegeuza msiba ule ndo kijiwe chao badala ya kwenda kumzika inspekta mstaafu.
 
Sasa ndg tutamjuaje tafadhali co wote tupo bongo wengine tupo Kintanula, unakujua?
Mtafute google image uone picha zake akiwa hai.
Hata mimi naona sio sawa kuweka picha za maiti
Hatujui, je, angekua hai angependa hizo picha zirushwe?
 
nyie mnasikia kwa kutumia matak.o(mpaka yachapwe ndo yana elewa)..
alikua anaelezea ni jinc gan kanumba alikua anampa changamoto ya kufanya kaz zaid..na kuonesha n jnc gan walikua karbu(ndo akazungumzia ishu ya kiwanja kua wamenunua sehemu moja)...
GREAT THINKER WENGNE BHANA,UMEKOSA CHA KU POST LEO UKAONA UANDIKE PUMBA ZLE..
 
hawa waandishi wa habari ni wakupiga vibao, muda kama huu ni mzito sana kwa familia ya kanumba hasa mama mzazi alafu hawa wapuuzi wanaenda kuinterview, waache familia iombeleze na Mungu awape nguvu ya kuvuka kipindi hiki kigumu. R.I.P Kanumba

Hii imetupa wengi kujua uhusiano na Mama yake baada ya kusikia mabaya ya baba yake. kumbe anafamilia inampenda na duniani hakuna kama Mama, pi ukisikiliza wanaonekana wamependa kusawazisha habari zinazitolewa na paparazzi.
 
nilichokigundua watanzania asilimia60 tunaupeo mdogo hasa wa akili mtu akishaongelea ana nyumba na gari basi huyo mtu anajidai or whatever jamani hayo ni mambo ya kawaida na wenzenu wanamagari zaidi ya matano kwahiyo kuongelea neno gari au kiwanja kwenye tv ni suala la kawaida sasa nyie wenzangu na mimi na magari yenu ya mkopo tena moja mtu akiongelea gari basi anajidai acheni ushambaaaaaaaaaa
 
nnachojua hamnaga ndoto iliyo na mwisho..ila mama amewah niambia
'ukiota ndoto mpaka ikafika mwisho ujue kuna kitu kibya saaaaana kitatokea siku inayofuata..'
m n moja kat ya wanaoamn..
 
... nchi zinazotambua mchango wa wasanii hawa katika kukuza jina la taifa husika ...
Si mpaka uwepo huo mchango? Sasa kama hakuna mchango wowote, nchi itatambuaje huo mchango. RIP, gone too late!
 
Back
Top Bottom