ungejuale kwamba anajua kispaniola?
hicho kitoto kipo lumande mpaka kijulikane source ya kifo cha the great k.so hatuwezi kujua now what was the source.
.hata kama baba hakuwa responsible, hakutakiwa ku react vile kwa mzaz wake aliechangia kumleta duniani.
ni upendo gan alisisitiza enz za uhai wake wakati alikuwa hampend mzee wake?
Yaan hata amri ya Mungu ya kuheshm baba na mama hakuifuata?
anyway....Mungu ailaze roho yake mahali panapoctahili....amen
naona LuLu ndio amekamata mazungumzo ya nchi hii kwa sasa..watu washaanza kusahau lema kuvuliwa ubunge!
Mapenzi yanahitaji busara na hekima
Alıpendwa na watu warıka zote kwa sababu ya movıe!nımeamını movıe zınapendwa kulıko hıphop
Wewe ni Profesa uchwara, utataka hata Wema Sepetu akifa apewe mazishi ya Kitaifa.
Mtafute google image uone picha zake akiwa hai.Sasa ndg tutamjuaje tafadhali co wote tupo bongo wengine tupo Kintanula, unakujua?
hawa waandishi wa habari ni wakupiga vibao, muda kama huu ni mzito sana kwa familia ya kanumba hasa mama mzazi alafu hawa wapuuzi wanaenda kuinterview, waache familia iombeleze na Mungu awape nguvu ya kuvuka kipindi hiki kigumu. R.I.P Kanumba
Si mpaka uwepo huo mchango? Sasa kama hakuna mchango wowote, nchi itatambuaje huo mchango. RIP, gone too late!... nchi zinazotambua mchango wa wasanii hawa katika kukuza jina la taifa husika ...