Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Japo mimi huwa siangalii Bongo movie, R.I.P nigga.
 
habari zisizo rasmi za mwanzo zinaonyesha kasukumwa na mpenz wake aitwae lulu baada ya kutoka bafuni.ugomvi kt ya umetokana na sm.source clouds fm.
 
Kanumba wiki iliyopita katika kipindi cha Take One kinachorushwa hewani kupitia Clouds TV alimtolea uvivu baba yake, Mzee Kusekwa akidai amechangia katika mateso yake aliyoyapata utotoni.

Baada ya Kanumba kueleza hayo, baadhi ya watu wakiwemo wasanii wenzake walimshangaa na kueleza kuwa kitendo alichokifanya si cha kiungwana kwani mzazi ni mzazi tu, hata kama amekosea si sahihi kumdhalilisha.

Ile bible statement isemayo ''Waheshimu baba yako na mama yako ili siku zako zipate kuwa nyingi'' Ina mahusiano gani na hiki kifo. katika afrika bara ambalo uchawi bado una nguvu sana watoto hawashauriwi kuwashutumu wazazi hadharan, ni hatari sana.
 
Ebu subiri Nita ute ukweli kwanza manake sikuizi watu kwakuburuza habari wala hawazibebi....
 
mmmhhh baada ya mutharika sasa kanumba who is next? mrudie mungu wako na usali sana..

RIP kanumba..
 
R.i.p the great, sisi tulimpenda lakin MUNGU kampenda zaidi.
 
Ooh jamani, real sad, pole kwa familia, friends and his fans! Personally nimeskitika sana! Mungu awape wahusika faraja ya kweli n RIP Steve
 
Ni vigumu kuamin lkn ndo hivyo itabidi tukubali hakika kazi ya mungu haina makosa, mungu ailaze roho ya marehem mahala pema,Ameen!
 
RIP Steve Kanumba, poleni sana wafiwa
 

i dnt thnk its the right time 4this
 
STEVE Kanumba the Great is no more......Amefariki dunia usikuu huu. Kilichosababisha kifo chake hakijafahamika, ila tumetaarifiwa na mmoja wa watu waliofika nyumbani kwame muda mfupi baada ya kanumba kututoka,

RIP Kanumba...
Naikumbuka hii jamani niliiona..Sikuwa mpenzi sana wa bongo movies lakini nilikuwa najua ni mmoja wa wasanii wanaojitahidi kutunza heshima.
Mungu atusadie jamani kweli siku na saa huwa haijulikani..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…