Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

mmmhhh baada ya mutharika sasa kanumba who is next? mrudie mungu wako na usali sana..
RIP kanumba..
Nimeota Ramsey kafunga goal la ushindi against Man six! This time mtu anavuta kwanza then Ramsey anascore!
 
Wakuu hii kitu ni kweli mimi mwenyewe rafiki yangu alipigwa nyuma ya kisogo na akavuta mpaka kumpeleka muhimbili wakasema hawezi kupona maana damu imechanganyika na ubongo so guys kama ni kweli aliangukia kichwa ni kweli kabisa kavuta.....RIP KIJANA
 
Source RFA

Mwigizaji maarufu hapa nchini Steven Kanumba kafariki dunia maeneo ya mbagala kwa ajari ya gari

Amefariki Nyumbani kwake Sinza.....hakuna jeraha lolote...mpz wake ni kweli alikuwepo, lakini hapatikani kwa sasa....haijulikani ni nani!!1....Source: Radio One!! RIP Kanumba
 
Ebwanae the guy was just young to go...anyways R.I.P Kanumba
 
2mepoteza mwigizaji mbunifu na aliyekuwa anaibadirisha tasnia ya filamu kwa kuanza kutoa muvi za tofauti na mapenzi, bt huyu c ajali coz nimewatch nw tbc news wamemtoa hm kwake, kulikuwa kuna ugomvi.R.I.P the great
 
Lulu mwigizaji ndiye alikuwa "mpenzi" wa marehemu Kanumba.

Kama ndiye kamsukuma (kama maelezo yanavyodai), ndiye anakuwa 'suspect' wa kifo hiki?

Mbona kasheshe?
 
Twendeni taratibu jamani; kuanza kudai huyo binti "kamuua" tunaenda mbali sana. Inawezekana kabisa ni accidental death. Maana wengine wanaseema "kauawa" ni kana kwamba kulikuwa na mipango na nia ya kufanya hivyo. Yaani, hili haliangukii hata kwenye crimes of passion kama ndivyo lilivyotokea. Twendeni taratibu na huyu binti mdogo tusianze kumshakizia mzigo wa mauaji wakati hatujui nini hasa kilitokea kati yao. Lets get the details before we form opinions.
 
Pumzika mdogo wangu..sasa kazi mashemeji watakavojazana kwenye msiba daaaah ..utatupa kazi kweli..haya pumzika
 
Lulu mwigizaji ndiye alikuwa "mpenzi" wa marehemu Kanumba.

Kama ndiye kamsukuma (kama maelezo yanavyodai), ndiye anakuwa 'suspect' wa kifo hiki?

Mbona kasheshe?

Sijui huyu dogo atajificha wapi, sura yake sijui ataiweka kwa kweli ni hatari sana tu
 
Nini chanzo cha kifo cha kanumba,kama ni ugomvi alikuwa anagombana na nani?
 
sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea...ndugu zangu tujiandae kufa kwa kufanya yanayompendeza MUNGU.
 
jamani nimepata taarifa kuwa muigizaji maarufu bongo Kanumba amefariki dunia leo usiku. source TBC
 
Pumzika mdogo wangu..sasa kazi mashemeji watakavojazana kwenye msiba daaaah ..utatupa kazi kweli..haya pumzika

RIP Kanumba

Msiba mzito huu kwa wapenda filamu za Kibongo! BaMwanaasha ataenda Malawi kwa Bingu AMA kwa Kanumba?
 
RIP kanumba,huyu si ndie Yule bwana alokua na ungonvi na mzaziwake na mamake wa kambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…