Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

RIP Kanumba. hatukuwahi kusikia alikuwa mgonjwa siku za karibuni, je nani mwenye data chanzo cha kifo cha mpendwa wetu?
 
Poleni sana wanafamilia kwa msiba huo.ila kwetu sisi vijana huu ni wakati wa sisi kujitathimini kweli tunayoyafanya yanampendeza mungu? Umaarufu wetu huu tusipoutumia vizuri utatumaliza.
 
Ukitaka mafanikio kwa ushirikina lazima ujue mauti yapo mlangoni. R.I.P Kanumba.
 
Gone too soon, Mchango wake ulikuwa bado unahitajika sana kwenye tasnia ya filamu za kibongo, May the Lord Almight rest his soul in eternal place.....Amen
 
Wadau habari ni za kweli! redio nyingi zimeshatangaza kifo chake,kilichobaki tumuombee kwa mwenyezi Mungu amuweke panapostahili!

mkuu! Hakuna kuomba hapa, kifo chake kama inasemekana, 7bu ni mapenzi, while huyu lulu c mke wake. Mungu wa kweli hana muda wakusikiliza kelele. Infact, tasnia ya filamu ni 1 ya kitengo cha shetani.! Sorry huo ndo ukweli
 
Rip my brother but its too soon u made changes into the films industry ulifanya niwe naangalia filamu zetu kweli ulitisha lakini Ngoma ililia sana na hapa ndo mwisho yo memories always will live.
 
Rest in peace Kaka kwa kweli imesikitisha watu wengi
 
daah!
hii sio pigo tu kwa wale wapenda muvie, bali ni kwa taifa.
muvie ya bongo ndo ilikua inachanua tena kwa kupuitia kwa huyu jamaa,
tz ilikua inaanza kuafahamika nje ka kupitia huyu jamaa, huyu jamaa alikua
chanzo cha ajira kwa vijana wengi, alikua fahari ya watz wa ndani na nje,
Lakin sasa eti amekufa ghafla......????
Poleni familia ya kanumba, poleni sanaa ya tz, poleni watz wote.
 
Afrika bara ambalo uchawi bado una nguvu sana watoto hawashauriwi kuwashutumu wazazi hadharan said:
Bara lipi wanaruhusiwa kutukana wazazi wao?
 
Back
Top Bottom