Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Hivi ni source of his death au ni cause of his death unconfirmed? Kina Nyani Ngabu na Dada yangu Sweety Radhia tusaidieni hapo!

Source = Chanzo
Cause = Sababu/kisababishi

Vyote ni sahihi.

RIP Kanumba. . . .
Poleni kwa msiba wafiwa na wapenzi wake wote.
 
Umaarufu wote ule, kujulikana kote kule, pesa zote zile, magari yote yale, majumba yote yale, mademu wote wale, nk. nk. nk. KANUMBA amefariki???

Hapa ndio namkumbuka sikuelewi std V
" Heri mimi masikini ila ninaishi"

No longer at easy
 
Inasikitisha sana kuhukumu hivi.

Unakumbuka maisha ya Baraba?
Aliyeachiwa badala ya Yesu?

Huwezi jua wakati wa kufa alifanya nini, mbinguni tutaingia kwa neema na jitihada, si kwamba ni wema sana kuliko wengine au ni smart sana.

Bora umenena, watu wamekazana na hukumu zao za kibinadamu..
 
RIP kamanda'inaonekana umemaliza kazi uliyokuja kufanya duniani'hata hivyo tumejifunza kujenga mauhusiano ya kimapenzi na wasichana wadogo tunaowazidi umri mkubwa ni hatari'kuwa na saizi yako bana
 
alitakiwa kuwa na kifua kpana maana lulu yule hakuwa wa mmoja...ni wa wote
Ndio maana ktk kipindi cha Mkasi cha SJ alisema hana mpnz nahajwahi kuwa nae coz kwake kila mtu anachapa tu, lkn na nyie wasanii wetu maisha mnayoishi Kumbe ndiyo mnayoigiza that's Gud
 
Umaarufu wote ule, kujulikana kote kule, pesa zote zile, magari yote yale, majumba yote yale, mademu wote wale, nk. nk. nk. KANUMBA amefariki???

Hapa ndio namkumbuka sikuelewi std V
" Heri mimi masikini ila ninaishi"

No longer at easy

Eh.............sidhani kama nimekuelewa kwamba una heri wewe masikini kwa kuwa bado waishi au??
 
Tumepokea kwa mshtuko juu ya kifo cha mcheza filamu nchini Stev Kanumba. Suala la kifo si geni kwani kila nafsi itaonja mauti. Jambo hapa la kujifunza, je Stev ameonja mauti kwa mazingira gani?. Ndugu vijana wenzangu, nimeshuhudia mara nyingi hususani hapa Tz mtu akiishakuwa maarufu hujisahau kidogo. Kashfa za mapenzi na starehe luluki humwandama. Ajali za magari huwakumba mara nyingi tena usk wanapotoka katika burudani zao. Sikatazi kutoka outing jamani...La hasha. Nilishawahi mshuhudia star mmoja amelewa kupindukia wanambeba kumpeleka kwenye gari lake. Walipomuacha tu akaliwasha na kuondoka!. Complex, Dandu ni miongoni mwao walioaga dunia kwa ajali ya magari. Walionusurika ni karibu wote. Sasa twende katika visa vya mapenzi, kuna mmojawao alishachomwa kisu na kufariki hapohapo (jina nimesahau). Kupigana na wapenzi wao imeishakuwa fasheni. Biff za kipuuzi kabisa huendekezwa. Dhuluma, utapeli, lugha chafu, uzinzi na anasa ndio nguzo zao kuu. Mliona ya T.I.D kusweka jela, KAJALA naye anamfwata. WEMA mahabusu ndio kwao. Nia yangu hapa ndugu zangu vijana ni kuwashauri tuwe makini pindi unapokuwa maarufu. Yawezekana mauti yaliyompata ndugu yetu ni bahati mbaya na kama kawaida yetu "mapenzi ya mungu" ila iwe fundisho kwetu.
Sasa unakusudia kusema kanumba kafa sababu gani?? Je hakustahili kufa??
 
Salita in case of death try to be serious.
Mambo vipi lakin kijana upo?
 
R.I.P Kanumba

now I can recall Mtoto wa Ndandu (R.I.P) tragedy again.

"Lulu na Tina"
 
Umaarufu wote ule, kujulikana kote kule, pesa zote zile, magari yote yale, majumba yote yale, mademu wote wale, nk. nk. nk. KANUMBA amefariki???

Hapa ndio namkumbuka sikuelewi std V
" Heri mimi masikini ila ninaishi"

No longer at easy

Maneno yote hayo ya nini jamani, kifo hakina mwenyewe..wewe na umaskini wako bado utakufa si bora hata yeye amepata raha kidogo humu duniani na huenda akaenda mbinguni pia, sasa wewe waweza kufa na umaskini wako na ukaenda kunakoitwa jehanam...
 
hata wewe ni great kwako...ndio maana unauza nyago kwenye thread yake....kudadadeki
Nimewatafuta mashost kwenye kila sredi siwaoni..ikabidi niwafuate huku huku. Kwake Sinza nasikia kumefurika.
 
Back
Top Bottom