Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanumba wiki iliyopita katika kipindi cha Take One kinachorushwa hewani kupitia Clouds TV alimtolea uvivu baba yake, Mzee Kusekwa akidai amechangia katika mateso yake aliyoyapata utotoni.
Kifo cha msanii steven Kanumba kimesababishwa na radhi ya baba yake mzazi
Wadau mwenye contacts za steven kanumba plzzzz anisaidie nina shida naye!
ni kweli kabisa kwani siku zilizopita kulikuwa na mabishano makali kati yake na baba yake,kanumba alimlaumu baba kwa kumtelekeza sasa anajisifia kuwa ana mtoto msanii mkali.baba alihuzunika sana.kwa hiyo vijana hata kama wazazi walikutesa ni muhimu kuwasamehe kuliko kukumbuka machungu na kulaumu.
Ki vipi mkuu? Hii topic ilianzishwa tarehe 2 March 2012, zaidi ya mwezi mmoja kabla ya Kanumba kufariki. Au sijaelewa concern yako?Mods tafadhali if u are serious delete hii thread inaivunjia heshima JF na members wengine!
mi maswala ya mziki na filamu, yamenipitia pembeni kabisa, cz nimekaa jela kamiaka 5 ndo nimetoka juz juz.
Si ustaarabu kuonesha picha ya marehemu!!!