Na haya yameanza lini?
sorry to ask but which one is for tsh account and which for doller account? au jus any? im lost!
Kapinga,
SWIFT CODE in hiyohiyo moja ila inategemea na wewe mwenyewe unatuma kwenda akaunti gani. Kama ni ya dola zinaingia kama dola na madafu (T.Shs) hivyo hivyo.
Tunaomba shule kidogo mkuu ni vipi zinatumika katika kutma pesa, kwa wakati gani? yaani niseme kivipi? Niko njia panda.......
Pia Kwa kuwasaidia wale walioko Ulaya ambao hawafahamu, unaweza kutuma pesa nyumbani kwa kutumia "intermediary account" ya benki husika. Yaani kwa mfano NMB na CRDB Banks wana account Deustche Bank, Frankfurt, kwa hiyo unatuma pesa kwenda kwenye hiyo account ya Frankfurt na unasema for FURTHER CREDIT, kwa account iliyoko Tanzania na pesa zinafika. Unafuu wa hii ni gharama ya kutuma inakuwa ndogo sana au hakuna kabisa, badala ya kutuma moja kwa moja. Hasara yake ni kwamba ni lazima uende physically bank ujaze form maalum. Mimi nimewahi kuitumia hii wakati niko Germany. Nikatuma pesa kwenda NMB tawi lililoko Tanzania.
KWA KUONGEZEA TU KWENYE HII ELIMU YA SWIFT CODE NA JINSI MABENKI YANAVYOFANYA KAZI. KILA BENKI LAZIMA IWE NA ACCOUNTS (NOSTRO ACCOUNTS) KATIKA NCHI ZA KIGENI. KWA MFANO NMB INAWEZA KUWA NA ACCOUNT BARCLAYS KENYA, CITI BANK NY, NED BANK SA, TOKYO BANK JAPAN, ETC. NA NMB ANAKUWA NA HELA KABISSA KWENYE HIZO ACCOUNT ACCOUNT ZAKE ILA YAANI ZA NCHI HIYO KWA MFANO KENYA A/C YAKE ITAKUWA KSH, CITI NY ITAKUWA NA USD, DED BANK ITAKUWA ZAR, TOKYO BANK ITAKUWA NA JPY. KINACHOFANYIKA SASA NI KUWA KAMA WEWE MJEJA UNATAKA KULIPA KWA MFANO UNALIPIA GARI ULILO NUNUA JAPAN UKIWA TANZANIA, ANAYEKUUZIA KUTOKA JAPAN ATATAKIWA AKUTUMIE INVOICE AMBAYO PAMOJA NA MAMBO MENGINE ITAONYESHA BEI, HIS/HER BANK DETAILS (YAANI BENKI YAKE ANAYOWEKA HELA ZAKE HUKO JAPAN, A/C NO YAKE KWENYE HIYO BENK, BRANCH YAKE, SWIFT CODE YA KIYO BENKI). BAADA YA KUPATA HIYO INVOICE TOKA JAPAN UTATAKIWA SASA WEWE ULIEKO TANZANIA UENDE BEKI YAKO KWAMFANO NMB, WATAKACHO FANYA NMB WATAKUUZIA JPY AU USD KUTEGEMEANA NA INVOICE YAKO. KISHA NMB WATAIAGIZA SASA BEKI YAO ILIYOKO JAPAN (KWA KUTUMIA MTANDAO WA KIBENK YAANK SWIFT) KUWA TOA KIASI HIKI CHA PESA LIPA KAMPUNI X AMBAYO AKAUNTI YAKE IKO BENKI Y WAKITAJA NA SWIFI CODE, BRANCH,A/C N.K) IKUMBUKWE KUWA HAKUTAKUWA NA PHYSCAL CASH ITS JUST A WIRE TRANSFER. NA SWIFT KIREFU CHAKE NI "Society for Worldwide Interbank Financial Telecommunication"!!!!!!
Mazee ungeweka au kusema na source ya hizi codes ili tujiridhishe. Ni ombi tu.
Askofu said:Duh... mdau hapa umecheza kweli, hata mimi nilikuwa nazihitaji kinoma... thanks a million
Ni kweli mkuu anastahili pongezi amefanya la maana hata mimi nilikuwa nazihitaji hizi swift codes.
Tiba
kwa niaba ya woote waliokuwa wanazihitaji, nasema thanks....sababu naona pamoja na kjituma kote huku hakuna hata mmoja aliyegonga senks, mm nimekugongea muzeeeia!schedule a swift bank identifier codes (bics) for tiss participants (bilateral key exchange)
participant swift bic live swift bic t&t
1 tiss tanztzta zyaatzto
2 bank of tanzania tanztztx tanztzto
3 akiba commercial bank akcotzti akcotzto
4 barclays bank ltd barctztx barctzto
5 cf union bank ltd cfubtztz cfubtzto
6 citibank tanzania ltd cititztz cititzto
7 crdb bank limited corutztz corutzto
8 diamond trust bank tanzania ltd dtketztz dtketzto
9 eurafrican bank ltd euaftztz euaftzto
10 exim bank ltd extntztz extntzto
11 habib african bank ltd habltztz habltzto
12 international bank of malaysia ltdbkmytztz bkmytzto
13 kenya commercial bank ltd kcbltztz kcbltzto
14 national bank of commerce ltd nlcbtztx nlcbtzto
15 national microfinance bank ltd nmibtztz nmibtzto
16 stanbic bank tanzania limited sbictztx sbictzto
17 standard chartered bank ltd scbltztx scbltzto
19 united bank of africa ltd unbftztz unbftzto
20 african banking corporation fmbztztx fmbztzto
watu wengine kwa kujifanya wao ndio wajuaji!Mazee ungeweka au kusema na source ya hizi codes ili tujiridhishe. Ni ombi tu.