Tanzanian Banks Swift Codes

Tanzanian Banks Swift Codes

sorry to ask but which one is for tsh account and which for doller account? au jus any? im lost!
 
sorry to ask but which one is for tsh account and which for doller account? au jus any? im lost!

Kapinga,
SWIFT CODE in hiyohiyo moja ila inategemea na wewe mwenyewe unatuma kwenda akaunti gani. Kama ni ya dola zinaingia kama dola na madafu (T.Shs) hivyo hivyo.
 
Kapinga,
SWIFT CODE in hiyohiyo moja ila inategemea na wewe mwenyewe unatuma kwenda akaunti gani. Kama ni ya dola zinaingia kama dola na madafu (T.Shs) hivyo hivyo.

Tunaomba shule kidogo mkuu ni vipi zinatumika katika kutma pesa, kwa wakati gani? yaani niseme kivipi? Niko njia panda.......
 
Tunaomba shule kidogo mkuu ni vipi zinatumika katika kutma pesa, kwa wakati gani? yaani niseme kivipi? Niko njia panda.......

Mchukia Fisadi,
Ni hivi rafiki yangu, kama mtu anataka kutuma pesa nje ya nchi alimo anatakiwa kujua SWIFT CODE ya benki ya huko anakotuma pesa. Kwa mfano Mtanzania anayeishi Uingereza na anataka kumtumia pesa ndugu yake aliyeko TZ lazima ajue SWIFT CODE ya benki ya pale ilipo akaunti ya mtu anayemtumia pesa e.g CRDB, NBC, NMB etc. Na hii inatumika kwa matawi yote ya benki hiyo nchi nzima, akaunti ndo itaonyesha mtu huyo yuko tawi gani japo kuna option pia ya kuandika tawi unakotuma pesa. Mfano mwingine ni kuwa kama unataka kununua gari mfano kutoka Japan njia salama ni kutuma pesa kwa kutumia benki (yaani kutoka benki yako kwenda benki ya mpokeaji) kwahiyo ni lazima ujue SWIFT CODE ya benki ya hilo kampuni unakonunua gari. Kwa nchi zilizoendelea huhitaji kwenda benki kutuma pesa unakaa tu kwenye internet una access akaunti yako na unatuma pesa moja kwa moja na mojawapo ya vipengle vya kujaza ni hiyo SWIFT CODE.

Natumani nimeeleweka vizuri, kama bado usisite kuuliza tena. Asante
 
Last edited:
Duh! Mashikaji umetusaidia hata wengine ambao hatukuomba, maana hizo swift codes ni muhimu sana kwa money tranfer.

Mdau tunakushukuru sana....
 
Pia Kwa kuwasaidia wale walioko Ulaya ambao hawafahamu, unaweza kutuma pesa nyumbani kwa kutumia "intermediary account" ya benki husika. Yaani kwa mfano NMB na CRDB Banks wana account Deustche Bank, Frankfurt, kwa hiyo unatuma pesa kwenda kwenye hiyo account ya Frankfurt na unasema for FURTHER CREDIT, kwa account iliyoko Tanzania na pesa zinafika. Unafuu wa hii ni gharama ya kutuma inakuwa ndogo sana au hakuna kabisa, badala ya kutuma moja kwa moja. Hasara yake ni kwamba ni lazima uende physically bank ujaze form maalum. Mimi nimewahi kuitumia hii wakati niko Germany. Nikatuma pesa kwenda NMB tawi lililoko Tanzania.
 
Ili uweze kutuma pesa kwa mfano mtu aliyeko marekani bank yako hapo marekani haiwezi kuzituma moja kwa moja kwa banki yako ya nyumbani.
nitakupa mfano wa CRBD.
Wewe ukiwa mteja wa Bank of America utawaagiza wakutumie pesa zako Tanzania kwenye bank ya CRDB.watakachofanya
bank of America watazituma kwa CITI Bank ambayo ndo Intermidiary bank hapa Marekani.CITI ambao swift code yao itakuwa CITIUS hao watazipeleka kwenye account ya beneficiary bank ambayo ni CRBD.
CRDB wakishazipokea watazingiza kwenye beneficiary account ya mteja wake "uliyemtumia". sasa nimetolea mfano wa CRBD lakini hilo zoezi huwa ni kwa bank zote.
 
KWA KUONGEZEA TU KWENYE HII ELIMU YA SWIFT CODE NA JINSI MABENKI YANAVYOFANYA KAZI. KILA BENKI LAZIMA IWE NA ACCOUNTS (NOSTRO ACCOUNTS) KATIKA NCHI ZA KIGENI. KWA MFANO NMB INAWEZA KUWA NA ACCOUNT BARCLAYS KENYA, CITI BANK NY, NED BANK SA, TOKYO BANK JAPAN, ETC. NA NMB ANAKUWA NA HELA KABISSA KWENYE HIZO ACCOUNT ACCOUNT ZAKE ILA YAANI ZA NCHI HIYO KWA MFANO KENYA A/C YAKE ITAKUWA KSH, CITI NY ITAKUWA NA USD, DED BANK ITAKUWA ZAR, TOKYO BANK ITAKUWA NA JPY. KINACHOFANYIKA SASA NI KUWA KAMA WEWE MJEJA UNATAKA KULIPA KWA MFANO UNALIPIA GARI ULILO NUNUA JAPAN UKIWA TANZANIA, ANAYEKUUZIA KUTOKA JAPAN ATATAKIWA AKUTUMIE INVOICE AMBAYO PAMOJA NA MAMBO MENGINE ITAONYESHA BEI, HIS/HER BANK DETAILS (YAANI BENKI YAKE ANAYOWEKA HELA ZAKE HUKO JAPAN, A/C NO YAKE KWENYE HIYO BENK, BRANCH YAKE, SWIFT CODE YA KIYO BENKI). BAADA YA KUPATA HIYO INVOICE TOKA JAPAN UTATAKIWA SASA WEWE ULIEKO TANZANIA UENDE BEKI YAKO KWAMFANO NMB, WATAKACHO FANYA NMB WATAKUUZIA JPY AU USD KUTEGEMEANA NA INVOICE YAKO. KISHA NMB WATAIAGIZA SASA BEKI YAO ILIYOKO JAPAN (KWA KUTUMIA MTANDAO WA KIBENK YAANK SWIFT) KUWA TOA KIASI HIKI CHA PESA LIPA KAMPUNI X AMBAYO AKAUNTI YAKE IKO BENKI Y WAKITAJA NA SWIFI CODE, BRANCH,A/C N.K) IKUMBUKWE KUWA HAKUTAKUWA NA PHYSCAL CASH ITS JUST A WIRE TRANSFER. NA SWIFT KIREFU CHAKE NI "Society for Worldwide Interbank Financial Telecommunication"!!!!!!
 
....Hiyo Society haiwezi kuwa neno lingine?? Maana Society na hayo mambo ya Kibenki Benki...??? Si afadhali hata ingekuwa Standard WorldWide Interbank......! Jes' Askn' !🙂
 
Mimi pia naulizia juu ya hizi swift Code, kwa mfano mtu akikuomba swift code ya benki fulani ukampa na pia na akaunti yako, atakuwa na uwezo wa kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti yako mwenyewe bila wewe mwenye akaunti kujua (Kuiba)? Na pale wanaposet up akaunti yako kwa ajili kukuhamishia pesa, akaunti yako hutakuwa na uwezo wa kuitumia kwa kipindi hicho?
 
Mkuu jaribu kuulizia vema maana naona zile zilizotolewa kuna uwezekano mkubwa wa typing errors
 
Askofu said:
Duh... mdau hapa umecheza kweli, hata mimi nilikuwa nazihitaji kinoma... thanks a million

Ni kweli mkuu anastahili pongezi amefanya la maana hata mimi nilikuwa nazihitaji hizi swift codes.

Tiba

Mbona mnatoa asante kavu kavu kwa Mshihiri, Bonjezeni kitufe cha Thanks.
 
Hii information itasaidia wengi wetu. Je ni wapi ninaweza kupata Bank and Branch codes? Am I asking too much?
 
schedule a – swift bank identifier codes (bics) for tiss participants (bilateral key exchange)
participant swift bic live swift bic t&t
1 tiss tanztzta zyaatzto
2 bank of tanzania tanztztx tanztzto
3 akiba commercial bank akcotzti akcotzto
4 barclays bank ltd barctztx barctzto
5 cf union bank ltd cfubtztz cfubtzto
6 citibank tanzania ltd cititztz cititzto
7 crdb bank limited corutztz corutzto
8 diamond trust bank tanzania ltd dtketztz dtketzto
9 eurafrican bank ltd euaftztz euaftzto
10 exim bank ltd extntztz extntzto
11 habib african bank ltd habltztz habltzto
12 international bank of malaysia ltdbkmytztz bkmytzto
13 kenya commercial bank ltd kcbltztz kcbltzto
14 national bank of commerce ltd nlcbtztx nlcbtzto
15 national microfinance bank ltd nmibtztz nmibtzto
16 stanbic bank tanzania limited sbictztx sbictzto
17 standard chartered bank ltd scbltztx scbltzto
19 united bank of africa ltd unbftztz unbftzto
20 african banking corporation fmbztztx fmbztzto
kwa niaba ya woote waliokuwa wanazihitaji, nasema thanks....sababu naona pamoja na kjituma kote huku hakuna hata mmoja aliyegonga senks, mm nimekugongea muzeeeia!
 
hata mimi jana nimeulizwa swift code ya bank ambayo nataka kumtumia mawe dogo mitaa ya german, nikawa sinayo kwa bichwa...ndo bado namngoja anitumie!
vitu vingine bwana, vidogo tu ila muhimu!
 
Back
Top Bottom