Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Kwadu Cheye, raiya wa nchi ya Tanzania ambaye ana umri wa kati amefungwa kwa miaka 30 nchini Kenya katika jela la Langata Women Prison.
Kwadu Cheye alipata kifungo hiki baada ya kukamatwakwa akiombaomba barabarani Nairobi huku akimtumia mtoto mdogo mwenye ulemavu.
View attachment 2009483
bribebrag* Kenyan Police
Soma sheria za Kenya kuhusu human trafficking ndio utajua shida ambazo zinamkabili huyu mama Mtanzania na kama atatoka jela.These thugs gets into Kenya easily because Kenya is a Lawless Society. And they know well how to brag Kenyan Police and immigration officers with 500ksh,
Mkenya hawezi kuja Tz kiboya bila clear papers.
btw, he will be released .
Ni Mtanzania, mwenyewe anasema. Hivi, kwani unamjua kuliko anavyojijua?Sasa mbona hiyo kiswahili yake ako nayo nia kenya sio ya TZ. Kwa hiyo kiswahili akipita njia ya Mwanza msoma au mwanza tarime hatoboi hata
Hatuna watz wa hivo! Labda bado hujawajua watu wa Nyayo ndo mana unasema hivo au wewe ni mtu wa nyayo ndo mana unang’ang’ania kuwa ni mtzNi Mtanzania, mwenyewe anasema. Hivi, kwani unamjua kuliko anavyojijua?
mbna hakuna omba omba kutoka somalia,ethiopia, s.sudan, uganda? ni tanzania tu, nchi ya asali na maziwa??These thugs gets into Kenya easily because Kenya is a Lawless Society. And they know well how to brag Kenyan Police and immigration officers with 500ksh,
Mkenya hawezi kuja Tz kiboya bila clear papers.
btw, she will be released .
Human traffickingMiaka 30 ni mingi sana kwa kosa hili...huyu jaji ana tatizo pahali..si bure
Yaani kosa la kuingia nchi ya kigeni bila kibali ni miaka 30?
Aisee
Huyo mama alidanganya kortini eti mtoto huyo mlemavu ni wake na sio wake. Huyo ni mwizi wa binadamu, human trafficker.Miaka 30 ni mingi sana kwa kosa hili...huyu jaji ana tatizo pahali..si bure
Yaani kosa la kuingia nchi ya kigeni bila kibali ni miaka 30?
Aisee
Judge alitumia sheria ya Kenya kulingana na 'Counter Trafficking in Persons Act'Miaka 30 ni mingi sana kwa kosa hili...huyu jaji ana tatizo pahali..si bure
Yaani kosa la kuingia nchi ya kigeni bila kibali ni miaka 30?
Aisee
Mkuu, naona aibu mie kujiita Mtanzania 🤣🤣🤣Kwa kweli ameliaibisha taifa letu la uchumi wa chini-kati.
Mwenye kumpea huyo mtoto alitoweka huko mathare pamoja na passport ya mama kwa hiyo makosa inamuangukia yeye. Mtoto mwenyewe hayuko registered kama mkenya, na uchunguzi unabaini mtoto sio wake baada ya kudanganya. Human trafikking haina number, iwe mmoja, wawili au ishirini. Sheria msumeno.Mna uhakika ali-trafiick huyo mtoto?
Maana ni Ombaomba huyo hana hata hela ya kuweka Wakili....
Kwahiyo mtakachoamua mahakamani actually ndio kilichompata....this is not fair
Hata kama ni trafick,mtoto mmoja tu?Hata haijafanyika commercial serial trafficking ni mtoto mmoja
Huyo hakimu hayupo sawa
Issue siyo kibali -kutumia mtoto mlemavu kuombaomba.Miaka 30 ni mingi sana kwa kosa hili...huyu jaji ana tatizo pahali..si bure
Yaani kosa la kuingia nchi ya kigeni bila kibali ni miaka 30?
Aisee