Tanzanian Beggar Jailed for 30 years in Kenyan Prison

Tanzanian Beggar Jailed for 30 years in Kenyan Prison

Zigi Rizla

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
1,064
Reaction score
1,107
Kwadu Cheye, raiya wa nchi ya Tanzania ambaye ana umri wa kati amefungwa kwa miaka 30 nchini Kenya katika jela la Langata Women Prison.

Kwadu Cheye alipata kifungo hiki baada ya kukamatwakwa akiombaomba barabarani Nairobi huku akimtumia mtoto mdogo mwenye ulemavu.



Screenshot_20211113-220838.jpg
 
Kwadu Cheye, raiya wa nchi ya Tanzania ambaye ana umri wa kati amefungwa kwa miaka 30 nchini Kenya katika jela la Langata Women Prison.
Kwadu Cheye alipata kifungo hiki baada ya kukamatwakwa akiombaomba barabarani Nairobi huku akimtumia mtoto mdogo mwenye ulemavu.



View attachment 2009483


These thugs gets into Kenya easily because Kenya is a Lawless Society. And they know well how to bribe Kenyan Police and immigration officers with 500ksh,
Mkenya hawezi kuja Tz kiboya bila clear papers.
btw, she will be released .
 
These thugs gets into Kenya easily because Kenya is a Lawless Society. And they know well how to brag Kenyan Police and immigration officers with 500ksh,
Mkenya hawezi kuja Tz kiboya bila clear papers.
btw, he will be released .
Soma sheria za Kenya kuhusu human trafficking ndio utajua shida ambazo zinamkabili huyu mama Mtanzania na kama atatoka jela.
Tazama hio video , anasema pesa ya Kenya ina nguvu akirudi bongo ndio maana wanakuja Kenya kuomba.
Alafu nchi zote zimeendelea hua na shida na immigrants. Watu hupotea nchi maskini na kwenda nchi tajiri. Not vice-versa.
Huwezi pata mkenya akiomba omba Tanzania au nchi yeyote East&Central Afrika, wakenya walio hizi nchi ni skilled ama wanabiashara.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Funga hawa wadanganyika omba omba wote. Miaka 50 ikiwezekana.
 
Huyo ni shangazi yenyu nyie wa kikuyu, mumbane vizuri ili mjue kama kuna tukio more pengine ana ficha ficha kwa kujifanya ni Tz

Tz hapa kuna wakimbizi kibao na hawafanyi shughuli za omba omba instead wanafanyaa biashara na wana survive sembuse huyo anaue jifanya ni Mtz
 
These thugs gets into Kenya easily because Kenya is a Lawless Society. And they know well how to brag Kenyan Police and immigration officers with 500ksh,
Mkenya hawezi kuja Tz kiboya bila clear papers.
btw, she will be released .
mbna hakuna omba omba kutoka somalia,ethiopia, s.sudan, uganda? ni tanzania tu, nchi ya asali na maziwa??
 
Bora niendelee kukaa tanzania Kenya nchi ya ajabu sana

1. Kwanza nchi inakuwa na Tv za makabila?

2. Propaganda za kipumbavu sana kuchafua nchi nyingine kwa kutumia watu wenu

3. Katoka Tanzania sehemu gani ? Ni mtanzania gani anaongea kiswahili cha kinyumenyume eti KUPEA PESA, kiswahili cha Kenya hata ukizuga hakifanani hata siku moja na Kiswahili cha kibongo
 
Miaka 30 ni mingi sana kwa kosa hili...huyu jaji ana tatizo pahali..si bure

Yaani kosa la kuingia nchi ya kigeni bila kibali ni miaka 30?

Aisee
Judge alitumia sheria ya Kenya kulingana na 'Counter Trafficking in Persons Act'
Huyo mama Mtanzania alishikwa akitumia mtoto mdogo mwenye ulemavu kuombaomba. Alipofikishwa mahakamani akadanganya judge kua huyo mtoto ni wake na sio wake.
Never ever lie before a judge.
Human traffiking kenya.png
Human Traffiking Act Kenya.png
 
Mna uhakika ali-trafiick huyo mtoto?

Maana ni Ombaomba huyo hana hata hela ya kuweka Wakili....

Kwahiyo mtakachoamua mahakamani actually ndio kilichompata....this is not fair

Hata kama ni trafick,mtoto mmoja tu?Hata haijafanyika commercial serial trafficking ni mtoto mmoja

Huyo hakimu hayupo sawa
Mwenye kumpea huyo mtoto alitoweka huko mathare pamoja na passport ya mama kwa hiyo makosa inamuangukia yeye. Mtoto mwenyewe hayuko registered kama mkenya, na uchunguzi unabaini mtoto sio wake baada ya kudanganya. Human trafikking haina number, iwe mmoja, wawili au ishirini. Sheria msumeno.
JamiiForums-1626213459.jpg
 
Back
Top Bottom