Kenya wapo omba omba ambao ni raia ndani ya nchi. Mataifa yote duniani hata Marekani kuna omba omba kwenye barabara zao ambao ni Wamarekani tena wazawa wa nchi.
Lakini hili lenu nyie ni ovyo sana, kwamba watu wanahangaika kuvuka hadi kwa nchi jirani kwenda kuomba omba pembezoni mwa barabara, ni desturi na tamaduni ya Kitanganyika. Nakumbuka nikiwa mdogo ilikua ni mwiko kwa mtoto yeyote kwetu nyumbani kwenda kwa jirani kuomba, yaani mama yetu alikua ameweka sheria noma noma.
Wakenya wapo wanaokuja Tanzania, labda hata wengine wanafanya kazi duni huko, lakini mwisho wa siku wanakula kwa jasho lao bila kuomba omba pembezoni mwa barabara.
Nyie mnaacha nchi iliyoneemeka kwa kila kitu, amani, ardhi kubwa yenye rotuba, madini kila mahali, gesi, vivutio bora va watalii n.k. halafu mnakwenda kuomba omba barabarani kwenye nchi za watu. Huo ni uvivu na uzembe wa kufa mtu, nimemskia mara nyingi rais wenu Magufuli akisema mfanye kazi, lakini ukweli Nyerere aliwaponza na ujamaa wake maana aliwafanya mkawa wavivu kupitilizia. Yaani rais wenu ana kazi na sio haba, kabla afaulu kuwabadilisha kimawazo na kifikira itachukua muda mrefu.
Hebu tazama hii video