Tanzanian beggars arrested in Nakuru

Kwa hiyo bandiko hili linaletwa hapa kutujulisha kwamba Kenya ni nchi ya matajiri kuliko Tanzania? Au Kenya hakuna beggars? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hua nawaza endapo wakenya wangekua advanced kidogo kama South Africa sijui kama tungepumua hapa jf(nawaza kwa sauti)[emoji23]

Waafrika tuna desturi ya kuchekana ilihali wote bado tuko third world economy[emoji23] [emoji23]
 
Weka picha au acha ujinga huu
 

Kenya wapo omba omba ambao ni raia ndani ya nchi. Mataifa yote duniani hata Marekani kuna omba omba kwenye barabara zao ambao ni Wamarekani tena wazawa wa nchi.
Lakini hili lenu nyie ni ovyo sana, kwamba watu wanahangaika kuvuka hadi kwa nchi jirani kwenda kuomba omba pembezoni mwa barabara, ni desturi na tamaduni ya Kitanganyika. Nakumbuka nikiwa mdogo ilikua ni mwiko kwa mtoto yeyote kwetu nyumbani kwenda kwa jirani kuomba, yaani mama yetu alikua ameweka sheria noma noma.

Wakenya wapo wanaokuja Tanzania, labda hata wengine wanafanya kazi duni huko, lakini mwisho wa siku wanakula kwa jasho lao bila kuomba omba pembezoni mwa barabara.

Nyie mnaacha nchi iliyoneemeka kwa kila kitu, amani, ardhi kubwa yenye rotuba, madini kila mahali, gesi, vivutio bora va watalii n.k. halafu mnakwenda kuomba omba barabarani kwenye nchi za watu. Huo ni uvivu na uzembe wa kufa mtu, nimemskia mara nyingi rais wenu Magufuli akisema mfanye kazi, lakini ukweli Nyerere aliwaponza na ujamaa wake maana aliwafanya mkawa wavivu kupitilizia. Yaani rais wenu ana kazi na sio haba, kabla afaulu kuwabadilisha kimawazo na kifikira itachukua muda mrefu.

Hebu tazama hii video
 
Hangaika na mambo yenye tija, Kutoka musoma mpaka Kenya kuna ukaribu sana na pia kuna interaction kubwa kati ya watu wa Kenya na Mkoa wa Mara kupitia pale Sirari border sasa raia wa huko na huko kuchanganyikana ni jambo la kawaida tu, wakenya omba omba wapo wengi kwenye maeneo ya Tanzania hasa yaliyoko kwenye border hasa Sirari, Tarime na mkoa wa Mara kwa ujumla.
Wakenya ombaomba hawakuwahi kukamatwa kwa sababu no body is aware about that wala hakuna aliyewahi kuwaza kufatilia omba omba wale.
Ndugu yangu MK254 nakushauri leta jukwaani habari nzuri kama maendeleo makubwa ambayo Kenya imefikia ili nasisi tujifunze sio huu utumbo usiokua na maana
 
Hivi kwa akili yako hiyo finyu yaani ndoooogo kama sisimizi. Tanzania ipo na watu 47.25mil huku kenya ni 44.7mil unaongelea watu hawafiki hata kumi na haijulikani kama kweli ni watanzania. Sasa hiyo propaganda yenu ya kitoto mnadhani ina issue yoyote hapa bongo?

Hivi hata kwa akili ndogo tu ya mtoto wa chekechea watu mil 47.25
1. Tunakula na kusaza
2. Tunanunua vitu mbalimbali
3. Tunalima mazao ya biashara na chakula
4. Tunaendesha maisha yetu ya kila siku.
6. Sasa hivi bampa tu bampa kati yenu na sisi kiuchumi

Sasa unapobwabwaja propaganda za kizamani kwamba hatufanyi kazi. Kutwa kucha mnapata chakula bongo. Huu ni utoto.
 
Povu la nini sasa? Sisi twaongea kisomi wewe waja na kuyap yap. Nimekuomesha umaskini ulivyowakalia huko Kenya. Sasa unaleta ngonjera hapa.

Tihihihi.....govi. com
 

Hili suala la omba omba naona umelidandia juzi, Watanzania waliozagaa kwenye pembezoni mwa barabara za Kenya wanafahamika mikoa waliotoka. Sio mikoa yote, maana kwa mfano Wachagga wamejaa Kenya lakini wanajituma balaa na hutawaona wakiomba omba, ila hawa wametokea hadi Shinyanga na hata Dodoma. Soma kwa mfano huyu hapa wa Shinyanga ‘Tanzanian’ beggars fake disability to reap from Nairobi streets

How foreign beggars strike it rich in Kenya
Tanzanian beggars arrested in Nakuru » Kenyan News - Latest News in Kenya, Africa
Kenya-Tanzania: Trafficking handicapped children and the economy of misery | East & Horn Africa
Kenya: Couple Arrested For Placing Physically Challenged People on Streets to Beg
 
Kuna vitu huwa vinanishangaza yaani mtanzania avuke border kwa ajili ya kuomba!!!!....

isitoshe hao ni ndugu zenu wakenya akina wambura,otieno,olwoch.....

Siongei kwa ajili ya mada hii ila kiukweli watu wa musoma wengi wana ndugu zao huko kisumu na pahala pengine ambapo hata wajaluo hukaa..hivyo kupatikana huko hata sioni shida labda kama wangepatikana watu wa kuanzia tanga

By the way,miaka ya 2008 kulikuwa na wanawake wakenya wanajiuza katika club 84 dodoma na hili lilijulikana kutokana na minenguo yao ya macasino na hata wakati wa bunge,makahaba kutoka nchi za Afrika mashariki huja lakini huwezi kumkuta mtanzania akijumuisha masuala ya mtu binafsi kwa jamii nzima

Wasaidieni ndugu zenu
 
Wewe tatizo lako unaona shega sana na watu hao ambao hawafiki hata kumi. Huku majambazi toka Kenya yanakamatwa na mengine kupigwa risasi kila kukicha. Wewe unaongea nini wewe?
Maelfu ya Majambazi toka kenya yanakamatwa kila siku huku. Halafu wewe unakuja kubwatuka hapa.
Hivi anayeomba na jambazi yupi bora? Au unajivunia ujambazi wenu?
 

Watanzania wanaokuja huku kuomba omba wengi wametokea Shinyanga, wengine hata Dodoma.
 
Watanzania wanaokuja huku kuomba omba wengi wametokea Shinyanga, wengine hata Dodoma.
Hakuna mtu toka kanda ya ziwa akawa omba omba. Naona issue yenu ya ujambazi kikuyu empire huku bongo tunawapiga risasi tu.
 
hongera kwawa vyomboo ni vyetu vya dola. Abanwe pumbu hadi aimbe kwaya kuhusu mtandao wote[emoji2]
 
Weak people are Kenyans.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…