James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
weee bwege, acha kukurupuka ovyo,wabongo wamejaa miji mingi kenya kazi omba omba.sasa unatoa povu sababu ukweli umesemwa.Population ya Tanzania Below poverty Line ni 28% Est 2012
Population ya Kenya below poverty line ni 42% Est 2016
Population ya kenya ni 44.7 Million
Population ya Tanzania ni 49.25 Million
Calculation za population below poverty line ni kenya 44.7 x 42/100 = 19 kenyans live under poverty line
Tanzania 49.25x28/100 = 14 Million Tanzanians live under poverty line
Kenya-Tanzania live under poverty line. 19-14 =5
Kenya has population of 5Million more than Tanzania Live Under poverty line.
Halafu estimation ya Tanzania ni ya 2012 wakati estimation ya Kenya ni 2016. Sasa tukiweka rate ya 10% ya reduction of poverty each year kwahiyo Estimation ya Tanzania 2016 then tutaona 10/100 x 14 = 1.4 each year kwa hiyo 1.4 * 4 =5.6Mil approximated to 6Million
Sasa tukisema tuchukue 14 - 6 = 7Million
tuchukue sasa hiyo 7Million tujue watu wangapi 2016 Tanzania wanaishi below poverty line
7/49.25 * 100 14.21%
Kwahiyo Tanzania 2016 watu wanaoishi underpovery line 14.21% mwaka 2016 wakati kenya ni 42% mwaka 2016.
SASA KATI YA KENYA NA TANZANIA NI NCHI IPI INA MASKINI WENGI?
Economy of Kenya - Wikipedia
Economy of Tanzania - Wikipedia
Hiyo ni kauli tu ya ukarimu tuliyolelewa nayo.No wonder tanzanians love to use the word "naomba" they beg the shopkeeper to sell them goods. They Beg the waiter/waitress to serve you. "Naomba" this, "naomba" that. Begging and laziness is in their nature.
Tanzanians are just mentally weak people. Ujamaa really f*cked them up
Ndio mkuu hichi chama jameni ni maradhi yasiokuwa na tiba.Warudi tu huku bongo tuisome namba wote , maana hao ndo huchagua ccm
Sawa akubali tu kila kitu, kuna majambazi wangapi wa Kenya wapo huku tarime wanatusumbua kila uchao,acha povu jamaa,kubali nchi ina maskini wengi tu sio majivuno ya kitoto.
Usiwe mshabiki wa vitu vya kijinga. Unataka kumaanisha kuwa Kenya hakuna masikini au hao beggars. Afrika tumekuwa na ufinyo wa mawazo kuanzia kwenye mambo ya kijamii hadi ktk maswala ya kiuchumi. Just thinking positive all the time. Beggars hawapo Tanzania pekee yake wapo Kenya na afrika kwa ujumla. It's matter for all countries in the world.Pole zao, kule nchini kwao wanasema kuna ardhi kubwa, madini, vivutio vya utalii na kila kitu, sasa sijui mbona wanashia kuhangaika hivi hadi wanakua omba omba kwenye nchi jirani.
weee bwege, acha kukurupuka ovyo,wabongo wamejaa miji mingi kenya kazi omba omba.sasa unatoa povu sababu ukweli umesemwa.
Kwa shinyanga kwa kweli sidhani maana wale watu ni wachapakazi katika kujitafutia na fursa wanazo kiasi lakini dodoma huku kwetu ni specialist wa kazi hiyo lakini sidhani kama kuna atakayeweza kutoka dodoma kuja kuomba kenya maana hiyo nauli tu inatosha kumpa mtu mtaji hata wa kuuza nyanya na kuna baadhi ya mikoa mtu anaweza kuishi kwa gharama ndogo.....Watanzania wanaokuja huku kuomba omba wengi wametokea Shinyanga, wengine hata Dodoma.
Africa is poor and of course will be. Wenzetu walioendelea wanapeana challenge na kushikana mikono kusonga mbele. So the poor Africans have time to show each other who is poorer. Shame on us [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Leta facts kwamba tanzania maskini zaidi kenya na mimi nitakupa jinsi kenya ilivyo maskini zaidi ya Tanzania. Twende kwa facts siyo kuhororoja.
umeambiwa mie ni mgeni humu..Wewe kweli utaweza kudumu hapa JF. Umejiunga juzi tu na hii comment yako ya kwanza unaanza kutoa maneno ya kipumbavu kama mwehu. Au umetoka chuo cha wehu!!?. Yaani omba omba wasijae dar waende wakaje kwenu!!? Wewe mwehu nini? What so special waende kenya? Hivi ni namna gani ulivyo mwehu raia wa nchi nyingine akienda nchi tofauti lazika awe na passport. Yaani hao omba omba wapo na passport? Kama hawana wafukuzeni kama wahamiaji haramu. Raia zenu wa kenya mnajichetua kuwa ni watanzania. Acha wehu dogo.
pongezi kwa rotuba ya udongo tz na mali asili kwa wingi lakini blame lazy busybodies wasio na clue. exporting beggars right left!!Blame those human trafficking syndicate.
Na nyie mna vyombo vya dola[emoji23] [emoji23]View attachment 476985hongera kwawa vyomboo ni vyetu vya dola. Abanwe pumbu hadi aimbe kwaya kuhusu mtandao wote[emoji2]
Utatamani sana nchi yetu. Nyie mmelaaniwa ndiyo maana ni jangwa. Mwaka huu mtauana. Laana inawamaliza. Hatujawahi kubisha hodi kuja kwenu kuomba chochote. Nyie kila mara mnakimbilia TZ. Sasa hivi Uganda wapo kwetu. Mpaka 2020 mizigo ya uganda itakuwa inapitia kwetu. Mtabaki pekee yenu na majisifa ya kijinga. Huku Somalia wanawaua. Huku mko na ugomvi na Ethiopia, huku mko na ugomvi na s. Sudani.pongezi kwa rotuba ya udongo tz na mali asili kwa wingi lakini blame lazy busybodies wasio na clue. exporting beggars right left!!
Wewe ni nanga. Wewe ni nyoya.umeambiwa mie ni mgeni humu..
Kenya hainaubavu wa kufukuza mtanzania yeyote tena kipindi hiki cha uchaguzi. Nakuhakikishia hamuwezi. Lakini sisi huwa tunawatimua kila muda.Aisee habari za mujini zinasema ndo operation inaanza! Kueni kuwapokea hawa mende wenu apo mipakani, na msiwatelekeze mlivowafanyia wale wa msumbiji..patamu hapa ohooo
pongezi kwa rotuba ya udongo tz na mali asili kwa wingi lakini blame lazy busybodies wasio na clue. exporting beggars right left!!